Kitabu cha kusadikika kipo wapi

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Kwa wale wapenda kusoma vitabu na kilikuwa mashuleni, miaka nenda sana na kumbuka kwa jina nchi ya kusadikika.mtunzi marehemu shaaban robert nguli wa ambaye mpaka leo kwa fasihi zake kama akitumia ujumbe ili kutoenesha mabeberu ila kimegeuka kwa Afrika.
IMG_3676.jpg


Nika kumbuka mwengine chinua achebe kwenye kitabu chake kama kinyume chake.
IMG_3677.jpg


Baada kuona ilo nikakutana na kitabu kilicho pita mda kidogo kama si miaka 4 basi mitano
IMG_3678.png


Kwa nini ! Vitabu vinatukeji na kilichopo mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom