Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,100
- 2,707
Halafu,mbona mheshimiwa Mbowe hana pingu?.
Unaapa bure jiana la ALLAH
ni vyema apigwe pingu kama wenzake. Anatumia uhuru aliopewa wa mikono yake vibaya, mara kuinua kitabu mara kuweka mikono mfukoni. Amevurugwa kwelikweli kisaikolojia. Ikiisha miaka minne gerezani kabla ya hukumu yake sijui atafika hatua ya kunyanyua nini.
Hapan shaka. Huyu mtu anatengeneza legacy ya kipekee nchini kwa kusaidiwa na dola. Akijaliwa uhai biography yake itakuwa na utajiri wa vielelezo vya matukio ya kipekee ya maisha yake.Mbowe kama Nelson Mandela yaani!
Kwema lkn memba mpya kabisa?. Hongera kwa mawazo yako. Mungu hutenda kwa wakati kwa kila mmoja wetu. Ombea yasikukute. Utakumbuka haya maneno yako unayofanyia mizaha.ni vyema apigwe pingu kama wenzake. Anatumia uhuru aliopewa wa mikono yake vibaya, mara kuinua kitabu mara kuweka mikono mfukoni. Amevurugwa kwelikweli kisaikolojia. Ikiisha miaka minne gerezani kabla ya hukumu yake sijui atafika hatua ya kunyanyua nini.
Kwema huko mkuu wanguKitabu kina madini sana hiki!
The book (The Power of Positive Thinking) being displayed by FAM the CDM chairperson while walking towards the court of law as authored by Dr. Norman Vincent Peale theoretically depicts the following context
Wenye PDF ya kitabu wakuu msaada tafadhaliiThe book (The Power of Positive Thinking) being displayed by FAM the CDM chairperson while walking towards the court of law as authored by Dr. Norman Vincent Peale theoretically depicts the following context
1. Believe in yourself (Jiamini)
2. A peaceful mind generates power (Akili yenye amani hutengeneza NGUVU)
Ukiona hivyo, ujue tayari ameishachanganyikiwa!
Usimfananishe Mandela na vitu vya kipumbavu , Mandela hakuiba ruzuku za chama chake na alikuwa mwenyekiti kwa muda akwachia wengine sio huyu tapeli wa kisiasaMbowe kama Nelson Mandela yaani!
Sawa kabisa kitamsutaAliyempelekea hicho kitabu Mbowe amefanya jambo la heri. Mbowe ana NEGATIVITY sana na utawala wa Samia. Hivyo basi akimaliza kusoma kitamsaidia kuishi kama raia mwema
Kesi ya Mbowe ni unfortunate but gaidi Hana Alama
Nikajua unataka kijulipua ,huwa magaidi wanasema kiarabu Kisha wanajilipuaNinachoweza kusema ni kwamba: Wallah, wabillah Mbowe si gaidi.
Hakuna mwanasiasa asiye mwizi hapa duniani.Usimfananishe Mandela na vitu vya kipumbavu , Mandela hakuiba ruzuku za chama chake na alikuwa mwenyekiti kwa muda akwachia wengine sio huyu tapeli wa kisiasa
USSR
Kama utani utani vile, lakini ndiyo hivyo tena mwishowe utajikuta umepona kabisa, na sote tutaanza kujiuliza imekuwaje!Mbowe kama Nelson Mandela yaani!