Kiswahili chenye lafudhi yenye mvuto

Kiswahili chenye lafudhi yenye mvuto

tanga noma xn... yu wap mama shamira...??? kenda sokon kununua mbg... arud saa nga? #wngn wot wanaig ila tng nd Hagar.... sasa sokon!! mtandan ndo utakubal
 
hawajui hawa, yaani ukamsikiliza msegeju na mdigo , mtu wa mombasa , watu wa unguja wakiongea kiswahili hutataka wamalize
wengine hata ukisema msegeju watakuuliza ,,,,,ndio nani?
 
Kikenya, dah jamaa wanachekesha sana, eti uko na mambo mob
 
Zenji aisee
Nikimkumbukaga yule mama alivyofyatuka kwenye bunge la katiba (kuhusu ndoa ya CHADEMA na CUF) nafurahi sana!
 
Back
Top Bottom