Kiswahili chenye lafudhi yenye mvuto

Kiswahili chenye lafudhi yenye mvuto

Lafudhi ya Kimakonde ni Nomaaaa Baaa Chomo Nimetoka Ntwara mpaka Dar sijakutana na nti wala nlima.
 
Habari wana jf,eti ni kiswahili cha lafudhi gani ukisikiapo unatamani mzungumzaji aendelee kuzungumza kutokana na raha na burudani unayoipata,binafi mimi hupendelea sana kiswahili cha lafudhi ya kijaruo.

Kiswahili, lahaja ya Kongo, au Kingwana huwa inanibariki sana. Bamutu ba fasi ya Kivu...
 
quote_icon.png
By malimi katoro

Habari wana jf,eti ni kiswahili cha lafudhi gani ukisikiapo unatamani mzungumzaji aendelee kuzungumza kutokana na raha na burudani unayoipata,binafi mimi hupendelea sana kiswahili cha lafudhi ya kijaruo.

JUU YA NINI PAPAA
NAPIGA PANTALOO(SUTI)
NZI NAGONGA NAVUNJIKA MABAWA.

......UMEKUYA TENA KUBAONA BATOTO BA DARISALAMAA?
 
Hiyo ndiyo jole yenye namaanisha petit... Kiswahili muzuri ni ile hapana kuwa na contradiczion ya Kiarabu. Iko byeee!
 
....cha kiunguja....yaani kuwa natafakari unamgegeda binti wa kiunguja halafu analalamika kimahaba kwa ile lafudhi yao ya kule visiwani.balaaaaaa.
 
Nikisikiaga kiswahili ya kina rutashobya (Bukoba) naenjoi kinomanoma yani
 
Back
Top Bottom