mkuu anza kufuatilia hotuba za Dr.John pombe Magufuli kuna kiswahili murua cha kisukuma naimani utaburudika kwa lafudhi yenye mkazo kila neno...
Anaitwa Meena Murshid
Anaitwa Meena Murshid
Kuna huyu mdada anaendesha kipindi cha NIAMBIE frm Clouds. cjui jina lake nani? aiseee! ana kiswahili kizuri sauti nzuri daaah! anakosha sana. anaemjua jina anisaisue plz
mi mwenyewe nilikuwa natamani sana kumfahamu, sijawahi sikia kipindi chake ila matangaza tu ya kipindi ndio huwa yananivutia.
anatumia jina la ISTHATMEENA instagram
Cha kwetu napenda mno
Cha kwetu napenda mno
Kiswahili cha Tanga kinavutia sana, watu wa Tanga wamejaaliwa na Manani katika kukienzi na kukitumia kiswahili kwa ufasaha haswaa!
Baba lay