Kiswaili ya kijaruo buana iko naongosa kabiiisa.
Lahaja ya kimtang'ata Tanga, na lahaja ya kiunguja- unguja . Ukimpata mndakindaki azungumzae kwa lafudhi za lahaja hizo basi hapana shaka masikio yako hayatapata ungwadu wala ukakasi!..
Tanga ndio kuna Kiswahili wengine wote tunaiga tu
Ya mkuria
Cha watu wa kanda ya ziwa wanaharibu lugha yetu tu pamoja na wamasai
Mi penda sana lugha kutoka tanga
Kiswahili kizuri kiko Kanda ya Ziwa.
Ya mkuria
Mimi bwana nikisikia kile chenye lafudhi ya ki congo, huwa naburudika sana.Habari wana jf,eti ni kiswahili cha lafudhi gani ukisikiapo unatamani mzungumzaji aendelee kuzungumza kutokana na raha na burudani unayoipata,binafi mimi hupendelea sana kiswahili cha lafudhi ya kijaruo.
Tanga ndio kuna Kiswahili wengine wote tunaiga tu
Mimi bwana nikisikia kile chenye lafudhi ya ki congo, huwa naburudika sana.
Nairobi na arusha