Kisukuma unabembeleza haujulikan unarazimisha haujulikan!
Kiswahili, lahaja ya Kongo, au Kingwana huwa inanibariki sana. Bamutu ba fasi ya Kivu...
Lahaja ya kimtang'ata Tanga, na lahaja ya kiunguja- unguja . Ukimpata mndakindaki azungumzae kwa lafudhi za lahaja hizo basi hapana shaka masikio yako hayatapata ungwadu wala ukakasi!..
hahaha, wanikumbusha shangazi yangu , ilikuwa akija DAR... basi pale mtaani wamchokoza kusudi ili aongee tu! maana mwanamke wa kitanga kuongea amejaaliwa....
Tanga moja! nakupenda sana kwetu... barabara 20 nimekulia ..
mwajua kumbe wanandugu mana ukifika pale makorola kwa bii toti ama ukienda pangani bweni kwa mzee sharifu au hata kule mkwaja lladhi kwa bimagendo lazima utaulizwa haya we mwana waani weye kujilini weye haya wauyapi(yani mtoto wa nani umekuja lini na unatoka wapi) ukitaja sehemu ambayo siyamwambao waambia kumbe jitu labara.huko tanga ndokuna waswahili haswaa manake watu hawna hawaongei lugha za makabila zaidi yalahaja tu kma mgeni huwezi ambua kitu katu. nmekumbuka mbali sana
wajuanga miraa ni kitu mbaya sana mazee