Kisutu: Mahakama yawafutia Mashtaka Harry Kitilya na wenzake, Polisi yawakamata tena

Sasa hapa ndiyo Ndugai alipaswa kuonyesha kuwa Bunge lina nguvu kwa kufuta sheria inayomruhusu dpp kufuta kesi na polisi kukamata immediately tena kwa kosa hilohilo waliloshindwa kuliendesha mahakani!
 
Msipende kutegemea wanadamu mtegeemeeni mungu baba muumba wa mbingu n.a. Ardhi
 
Huyu joni ana roho mbaya sana anatesa watu hovyo bila sababu ya msingi

2020 John Walker out
 
wamekamatwa kwa kosa gani tena au ndio "maelekezo kutoka juu?"
 
Mahakama chombo kinachotoa haki kimewafutia makosa, hivyo hawajawahi kudokoa

2020 John Walker out
Kuna mdau ameendekeza heading ingekuwa DPP amewaondolea mashtaka Na sio mahakama imewafutia mashtaka.

Na tuhuma zao zilikuwa nini??
 
Hamna kesi tena hapo, ukisikia kwamba kesi imefutwa kwenye kifungu 91.1 ni kwamba mpelelez aliekua na fail anataka kula,, utasikia tuu mwishowe wako mtaaan sio zaid ya cku 3 utaniambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washitakiwa wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashitaka ya kula njama, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha fedha. Wanadaiwa kutenda makosa hayo kati ya Machi 2013 na Septemba 2015 wakati wa mchakato wa mkopo wa dola za Marekani milioni 550 kwa Serikali ya Tanzania kutoka Benki ya Standard Chartered Uingereza.

Wanadaiwa kuwa Machi 2013 jijini Dar es Salaam walijipatia dola za Marekani milioni sita, wakionesha kuwa fedha hizo zilikuwa ni malipo ya ada ya uwezeshaji upatikanaji wa mkopo na zililipwa kupitia Kampuni ya Egma T Ltd.
 
Ukiona hivi, kila mtu anapewa dau la ransom money alipe, millioni mia kila mmoja then wanatoka, uonevu , uonevu , uonevu
 
Yametimia aliyosema Pombe alipoingia madarakani. Hotuba yake ya kwanza alisema wale walioishi kama ........ nina usingizi nimesahau kilichoendelea malizia.
 
Pole Kitilya Nakumbuka utumishi wako uliotukuka Kwa Nchi unayopenda.Malipo yake Ndio hayo.Mungu azidi kukutia nguvu kwani yawezekana nyuma yake kuna kusudi tusilolifahamu kwa upeo wetu wa kibinadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…