Kisutu: Mahakama yawafutia Mashtaka Harry Kitilya na wenzake, Polisi yawakamata tena


n00b

n00b

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Messages
968
Likes
213
Points
60
n00b

n00b

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2008
968 213 60
Mahakama ya Kisutu imewafutia mashtaka aliyekuwa Kamishna wa TRA, Harry Kitilya na maofisa wa benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon, hata hivyo wamekamatwa tena na kurudishwa mahabusu.

-----------
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashtaka aliyekuwa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Harry Kitillya na mwenzake wawili ambao ni maofisa wa benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon.

Washtakiwa hao walikuwa wanakabiliwa na mashtaka nane yakiwemo ya kutakatisha fedha.

Wamefutiwa kesi hiyo chini ya kifungu namba 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya jinai (CPA), sura ya 20, iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002.

Uamuzi huo imefikiwa leo Januari 11 na Hakimu Mkazi, Salum Ally baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kueleza mahakama hiyo kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.

Wakili Mkuu wa Serikali, Hashimu Ngole akisaidia na wenzake Pendo Mangole na Patrick Mwida, amedai mahakamani hapo kuwa DPP hana nia ya kuendelea na shauri hilo dhidi ya washtakiwa hao.

"Taarifa hii ya kutokuendelea na shauri hili mbele ya mahakama yako, imeletwa chini kifungu namba 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), sura ya 20, iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002," amesema Ngole.

Baada ya maelezo hayo, Hakimu Ally alisema kutokana na maombi hayo, mahakama hiyo imeifuta kesi hiyo.

Hata hivyo, washtakiwa hao baada ya kufutiwa kesi hiyo, wamekamatwa tena na kuwekwa mahabusu.

Chanzo Mwananchi


Habari zaidi, soma=>Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare wafikishwa mahakamani - JamiiForums
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
81,964
Likes
121,274
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
81,964 121,274 280
Kwa akili yako fupi mburula. FYI Watanzania wote wanaopinga maovu ya huyo dikteta AKA dukuzi kichaa jiwe wanatumia haki yao iliyomo ndani ya katiba. Punguani weye subiri huyo kichaa ale mkeo labda ndiyo labda utatia akili kichwani.

Hivi wewe jamaa jiwe alikugongea mkeo nini?Maana kwa hizi chuki kila post ni lzm umwage povu dhidi yake.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
MISULI

MISULI

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
4,754
Likes
2,950
Points
280
MISULI

MISULI

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
4,754 2,950 280
Kwa akili yako fupi mburula. FYI Watanzania wote wanaopinga maovu ya huyo dikteta AKA dukuzi kichaa jiwe wanatumia haki yao iliyomo ndani ya katiba. Punguani weye subiri huyo kichaa ale mkeo labda ndiyo labda utatia akili kichwani.
Huu ndio uhuru wa kujieleza?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
4,479
Likes
3,540
Points
280
Age
51
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
4,479 3,540 280
Africa hio lengo ni kukukomoa,ili hata kama una biashara zako nje zife ili ukitoka uwe masikini. Wenzetu hawana mambo haya wanaangalia mchango wako ktk kodi ngapi watakosa ukiwa ndani thus wakikuhukumu ni kweli umetenda kosa.Africa waweza singiziwa na ukafia jela. Yote ni mambo yaifanyayo Africa kulaanika

Sent using Jamii Forums mobile app
Uonevu sana kwakweli
 
Malitoli Jiwe

Malitoli Jiwe

Member
Joined
Aug 17, 2018
Messages
46
Likes
50
Points
25
Malitoli Jiwe

Malitoli Jiwe

Member
Joined Aug 17, 2018
46 50 25
Ili kukomesha hii hali ya kuwapotezea watu muda wao kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu zitungwe sheria za kuwalipa fidia watuhumiwa waliopotezewa muda wao na usumbufu wa kukaa rumande muda mrefu. Hii itasaidia sana kupunguza kesi za hovyo
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
4,740
Likes
4,229
Points
280
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
4,740 4,229 280
Mungu awajalie jmn..
Siku moja nliona ndugu zake binti wakitoka kumuona Segerea wako hoi wanaomboleza
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
32,930
Likes
20,380
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
32,930 20,380 280
Ili kukomesha hii hali ya kuwapotezea watu muda wao kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu zitungwe sheria za kuwalipa fidia watuhumiwa waliopotezewa muda wao na usumbufu wa kukaa rumande muda mrefu. Hii itasaidia sana kupunguza kesi za hovyo
Hapo sirikali watanyooshwa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
8,582
Likes
5,207
Points
280
Age
44
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
8,582 5,207 280
Shule ya msingi nilisoma na kaka yake Sioi, yeye alikuwa nyuma yetu mwaka mmoja. Huwa nikimcheki pichani akiwa amekaa mahakamani, najikuta nikisikitika tu.
 

Forum statistics

Threads 1,250,095
Members 481,224
Posts 29,720,580