Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoe hela zikanunulie ndege zingine zinatakiwa ndege 100Watalipa faini hao jiwe linataka hela tu hapo
wamekamatwa kwa kosa gani tena au ndio "maelekezo kutoka juu?"Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashtaka aliyekuwa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Harry Kitillya na mwenzake wawili ambao ni maofisa wa benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon.
Washtakiwa hao walikuwa wanakabiliwa na mashtaka nane yakiwemo ya kutakatisha fedha.
Wamefutiwa kesi hiyo chini ya kifungu namba 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya jinai (CPA), sura ya 20, iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002.
Uamuzi huo imefikiwa leo Januari 11 na Hakimu Mkazi, Salum Ally baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kueleza mahakama hiyo kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Wakili Mkuu wa Serikali, Hashimu Ngole akisaidia na wenzake Pendo Mangole na Patrick Mwida, amedai mahakamani hapo kuwa DPP hana nia ya kuendelea na shauri hilo dhidi ya washtakiwa hao.
"Taarifa hii ya kutokuendelea na shauri hili mbele ya mahakama yako, imeletwa chini kifungu namba 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), sura ya 20, iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002," amesema Ngole.
Baada ya maelezo hayo, Hakimu Ally alisema kutokana na maombi hayo, mahakama hiyo imeifuta kesi hiyo.
Hata hivyo, washtakiwa hao baada ya kufutiwa kesi hiyo, wamekamatwa tena na kuwekwa mahabusu.
Chanzo Mwananchi
Habari zaidi, soma=>Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare wafikishwa mahakamani - JamiiForums
Kwani walidokoa shs ngapi mpaka Joni awatese hivyoHuyu joni ana roho mbaya sana anatesa watu hovyo bila sababu ya msingi
2020 John Walker out
Mahakama chombo kinachotoa haki kimewafutia makosa, hivyo hawajawahi kudokoaKwani walidokoa shs ngapi mpaka Joni awatese hivyo
Kuna mdau ameendekeza heading ingekuwa DPP amewaondolea mashtaka Na sio mahakama imewafutia mashtaka.Mahakama chombo kinachotoa haki kimewafutia makosa, hivyo hawajawahi kudokoa
2020 John Walker out
Wamekula pesa yetu muda mrefu, siku zote ubaya hulipwa kwa ubayaDuh, wameteseka hawa watu jamani.
Hamna kesi tena hapo, ukisikia kwamba kesi imefutwa kwenye kifungu 91.1 ni kwamba mpelelez aliekua na fail anataka kula,, utasikia tuu mwishowe wako mtaaan sio zaid ya cku 3 utaniambiaMahakama ya Kisutu imewafutia mashtaka aliyekuwa Kamishna wa TRA, Harry Kitilya na maofisa wa benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon, hata hivyo wamekamatwa tena na kurudishwa mahabusu.
-----------
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashtaka aliyekuwa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Harry Kitillya na mwenzake wawili ambao ni maofisa wa benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon.
Washtakiwa hao walikuwa wanakabiliwa na mashtaka nane yakiwemo ya kutakatisha fedha.
Wamefutiwa kesi hiyo chini ya kifungu namba 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya jinai (CPA), sura ya 20, iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002.
Uamuzi huo imefikiwa leo Januari 11 na Hakimu Mkazi, Salum Ally baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kueleza mahakama hiyo kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo.
Wakili Mkuu wa Serikali, Hashimu Ngole akisaidia na wenzake Pendo Mangole na Patrick Mwida, amedai mahakamani hapo kuwa DPP hana nia ya kuendelea na shauri hilo dhidi ya washtakiwa hao.
"Taarifa hii ya kutokuendelea na shauri hili mbele ya mahakama yako, imeletwa chini kifungu namba 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), sura ya 20, iliyofanyiwa marejeo mwaka 2002," amesema Ngole.
Baada ya maelezo hayo, Hakimu Ally alisema kutokana na maombi hayo, mahakama hiyo imeifuta kesi hiyo.
Hata hivyo, washtakiwa hao baada ya kufutiwa kesi hiyo, wamekamatwa tena na kuwekwa mahabusu.
Chanzo Mwananchi
Habari zaidi, soma=>Harry Kitilya, Sioi Sumari na Shose Sinare wafikishwa mahakamani - JamiiForums
uh, wameteseka hawa watu jamani.
Ili uwe na sherehe za mapokezi kwa siku mia?
Ukiona hivi, kila mtu anapewa dau la ransom money alipe, millioni mia kila mmoja then wanatoka, uonevu , uonevu , uonevuMahakama ya Kisutu imewafutia mashtaka aliyekuwa Kamishna wa TRA, Harry Kitilya na maofisa wa benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon, hata hivyo wamekamatwa tena na kurudishwa mahabusu.