Kisutu: Mahakama yawafutia Mashtaka Harry Kitilya na wenzake, Polisi yawakamata tena

Hivi huyu Mzee yuko sawa kweli kila mtu kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha ,ingekuwa wote hao anaowashtaki wameyafanya hayo hii ingekuwa hapa ilipo mbona wengi sana , yeye si angesema ni kesi zake za kulipiza visasi .
 
Dah...huu Uzi ni kama ulevi wa pombe...unajiona tajiriii...una nguvuuu...una mamlaka makubwaaa...umesomaa...zikiisha pombe kichwani unashtuka kumbe hata pesa ya bimkubwa aliyokutuma ukanunua gesi umenywea pombe...na ulitumbuliwa kwa cheti Cha kufoji ..shida zimerudi palepale na Deni la bimkubwa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yote haya yanatokana kuwa na katiba inayotakiwa kubadilishwa.Ikiwa mtuhumiwa amepewa authority na bosi wake yaani ame authorize transaction ya payments ipite je huyo bosi aliyeidhinisha malipo ataitwa mahakamani kutoa ushaidi?.
 
Hakuna hata haja ya kufanya uchunguzi wa kina kuijua CHADEMA kwa kuwa kitu kiko wazi kwamba viongozi wengi CHADEMA ni hovyo na ni wa kuokookota mitaani,kwa mfano Godbless Lema alikuwa rasta mvuta bangi mwizi wa magari,DJ Freeman Mbowe mpigadili malaya, king'ang'anizi katika uongozi wa chama na mfujaji wa pesa za ruzuku, wasanii wa kizazi kipya Joseph mbililinyi na mwenzake joseph Haule wavuta bangi na waropokaji, joshua Nassari ni Sho..... aaah ngoja niishie hapo haya sema ni nani mwenye akili timamu unayeweza kumshawishi kujiunga na cha cha watu hao?.Nafikiri Mzee Lowasa kuamia kule alidhani ataweza kuwarekebisha na alipoona ''MJASIRLI HAACHI ASILI'' mzee wa watu amerudi nyumbani kuja kujipunzikia.
Erythrocyte
 
Back
Top Bottom