Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Mungu siyo YohanaMungu atuepushe kabisa na balaa la hivi tena.
Mungu siyo YohanaMungu atuepushe kabisa na balaa la hivi tena.
Bado kuna balaa la NdugaiMungu atuepushe kabisa na balaa la hivi tena.
Hivi walikua na silaha za jadi au nizile za kivita kama vifaru.
Hiyo atajua yeye maana sisi kwa hapa tunajipongeza kwa wanachadema kuwa huru.Afute na ya akina Ruge
Nimecheka sana, lakini kwaakili za Jiwe kabisaa ingewezekana!Angewakosa hapo angesema walitaka kuvunja ikulu
SawaHiyo atajua yeye maana sisi kwa hapa tunajipongeza kwa wanachadema kuwa huru.
Ww utakua unatatizo upstairs..Kama kuongea kizungu wakati ule wa kuzama kwa MV ukara
Daaa aisee hili janga la corona halifaiWw utakua unatatizo upstairs..
Ni kwasababu hakuna haki.Lkn pia kama mahakama au waendesha mashitaka wangetaka kuwakomalia cdm wangeweza tu.
Huyu issue ndogo sana! Muda sio mrefu na yeye ataingia kumi na nane!Bado kuna balaa la Ndugai
Walikua na misumeno ya chuma miwili, Tindo 5, drilling machine 3 na Nyundo 10!Hivi walikua na silaha za jadi au nizile za kivita kama vifaru.
Maana gereza sio la kitoto.
Mhimili wa Haki uli ingiliwa....Lkn pia kama mahakama au waendesha mashitaka wangetaka kuwakomalia cdm wangeweza tu.
Mjinga sn huyo mzeeHuyu issue ndogo sana! Muda sio mrefu na yeye ataingia kumi na nane!
Ya Mungu mengi Mkuu!
Basi vifaa hivyo vipelekwe jumba la makumbusho kwa historia zaidiWalikua na misumeno ya chuma miwili, Tindo 5, drilling machine 3 na Nyundo 10!
Wamshukuru Halima James Mdee!
Nilini Tanzania umewahi kushuhudia haki kwa upinzani wa kweli?Ni kwasababu hakuna haki.
Jamaa alijivisha vyeo vyoote hadi akaitwa munguMhimili wa Haki uli ingiliwa....
RightWamshukuru Halima James Mdee!