Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

Dah!

Nchi ina vituko hii!! Kumbe kulikuwa na kesi ya Prison Break?! Hii ilinipita kwa kweli!!
 
Nimeamini mtu mwenye akili nyingi sana na kichaa wametenganishwa na kitu kidogo sana.
Ushawahi kuona mtu anaokota vichwa vya TRENI bandarini? Eti haijulikani nani kaviagiza wakati ubavuni tayari vina nembo ya TRL...

Meko bhana bonge la msanii feki...

1620207877706.png
 
Ushawahi kuona mtu anaokota vichwa vya TRENI bandarini? Eti haijulikani nani kaviagiza wakati ubavuni tayari vina nembo ya TRL...

Meko bhana bonge la msanii feki...

View attachment 1774093
Ha ha ha haaaaa!! Nimekumbuka na hii! Dah, Meko ameandika historian mpya kabisa kwenye nchi yetu,kwamba Yale makinikia yalizuiwa pale bandarini yalikua yanatosha kununua Noah kwa watanzania wote zaidi ya Mil.60
 
Meko bhana.... eti ukiyachenjua yale makinikia malori 37 ya tani saba yangejaa....

Hahahha kweli jamaa alituona sisi mazwazwa sana...

Yale maprofesa sijui yako wapi hivi sasa... maana yalimdanganya mwendazake kama mtoto wa chekechea
 
Back
Top Bottom