Kisutu, Dar: Hukumu ya Kesi namba 456 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums kutolewa Januari 22, 2020

Mungu akuongoze na akusimamie na akaangamize kila mwenye kutaka kukudhuru kwaajili ya kutenda haki.
I’m in your corner comrade. I got your back brother. This too shall pass!!
 
Tatizo la Jamhuri ni kuamini akili yk imechoka anahitaji kupumzika ingali na akili zenyewe hana!
Hawa watu wanaojiita jamhuri sijui nini nini huko nilidhani wangefurahia uwepo wa jf na habari kama hiyo wanayoilalamikia ingewasaidia kupata pa kuanzia kufanya uchunguzi kuwa je ni kweli hiyo kampuni inakwepa vyodi? vyodi ni uwingi wa kodi samahani
 
Tanzania bado tupo nyuma sana kwa mambo mengi, bado tuna jungle law

Hii sio jungle law. Jamiiforums.com inatakiwa ibadilike na kuanza kuoperate kama chombo cha habari. Kwamba mtu akipost kitu chochote kuwa na watu wa kukipitia na kukiidhinisha kiende hewani, au kukizuia.

Humu Jamiiforums huwa kunapostiwa taarifa kadhaa za kukashifu watu. Sasa sio haki kabisa kurusha taarifa ya kumkashifu mtu. JF waanze kufanya kama vinavyofanya vyombo vya habari vyenye weledi kwamba taarifa ikija inafanyiwa uchunguzi, na wahusika wote wanatafutwa na kuhojiwa nao waeleze upande wao wa stori, na pande zote mbili za stori ziandikwe.

Kama mdau wa muda mrefu wa internet zamani vyombo vikubwa vya habari kule Marekani kama vile CNN, FoX, ABC, n.k. vilikuwa vinaruhusu wasomaji kukomenti kwenye taarifa zao mitandaoni. Ila siku hizi wamefunga comments kwa kuepuka kushtakiwa kwa kuchapisha taarifa za kashfa kupitia comments.

Alternative ndo hiyo ambayo serikali imeitaka JF kufanya kwamba isajili watumiaji wake wawe ni watu wanaojulikana ili kila mtu awajibike kwa kile anachoandika.

Unapoandika jifikirie ingekuwa ni wewe umekashifiwa kienyejienyeji tu kwa stori ya upande mmoja ungejisikiaje?
 
Story za Safina ni za uongo, Nuhu alikuwa na uwezo gani kuwapandisha Simba, chui, fisi, mbwa mwitu kwenye hiyo safina, na aliwalisha nini?! Na hawa wanyama wengine walikula nini na wapi? Au kila kiumbe kilifunga kwa siku 40 ndani ya safina?!
Story zingine ni za kusubiria msosi hazina tija hata kuzisoma potelea mbali kuzikumbuka.
Kula bata achana na story hizo za kupotosha, kusoma hizo story bora ukasome katiba ya TLP.

Naona alibeba vitoto tu
 
Chimari nawe yee!
Hata apollo 15, kuna watu hawaamini ilifika mwezini, mpaka leo! siyo mbaya! kwa mtizamo wao! na kiwango cha uelewa wao! hakuna lisilowezekana kwake! mbona tuna- in door rearing today? na watu ni matajiri wakubwa tu, kupitia kazi hii?

tena anawalisha mwaka mzima. sembuse siku 40 tu, za kukaa safinani?

Baba yako mzazi asipokuonyesha mapesa ya urithi alipoficha, hutakaa umuamini mdogo wako akikwambia Baba kaacha mamilioni ya fedha!

Hata mimi mfano mwanzoni sikuamini unaweza kuona mtu wa Marekani live kwenye kadude kadoogo! kanaitwa simu, nilipinga hata nilipoona nilipinga kwa sababu sikujua!

Imani ya Mungu wa Ibrahim, Isack na Yakobo, the Sureme being si mali ya kila mtu, jamii ya Wa-Edomites, hawata kaa kamwe waelewe Mantiki ya neno la unabii piga ua garagaza,

Na Yesu alionya hivi; na nukuu '' don't curse your pearls in front of Swines, lest they trod on it, and Devour thee!

Mafarisayo walijua fika Yesu ni mwana wa Sir God, lkn walimpinga tu, hata leo ikitokea upingamizi wa hivo hatuwezi kushangaa! kwa sababu ni kizazi kilekile, kinaendelea but hakijitambui original yao ni wapi,

Ila sasa walio na upako wa Mwenye enzi ni rahisi sana kuwatambua, Sababu tunaishi nao tunakula nao, hakuna sehemu yeyote iliyoandikwa kwamba kizazi hiki kiliangamizwa, no walikuwepo na wapo, watakuwepo tena wengi kum-support Shetani!

Uzazi wa Cain haukuangamizwa hata kidogo, upo, kuna watu Mungu aliwachukia tena kwa kutamka wazi. mfano km Esau, alitwaa mke kwa wa-Edomites, Vizazi hivi Vipo leo hii hapa Duniani, vinaendelea. hawa sasa hawatakaa walielewe neno la unabiii!

Mungu aliwafunulia vijana wadogo Hekima yake! km kina Daniel, Meshack, Abednego, akawanyima wazee, wajanja, wenye mamlaka Elimu na maarifa.

Mpaka leo pasipo Mungu kufungua Akili hapana mtu awaye yote kujua Hekima yake!

Pale Eden Mungu alisema Hawa ni Mama wa viumbe vyote, yaani wale wa kizazi cha Nyoka na walio wa Mungu, sasa je unadhani kizazi cha nyoka kitajua kwa unyoofu mambo ya Mungu?
 
Nuhu alikuwa na uwezo gani kuwapandisha Simba, chui, fisi, mbwa mwitu
Yego amasika!
Twiga my jesus anapandishwa ndege!,:oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops: think about it!

Saa nane Island si kuna wanyama kibao na wanakula, DSM zoo!, Magogoni hapo! Biblical zoo, hii inasafiri kwenye nchi znye uhaba wa wanyama, unalipa unakwenda kuangalia, Meli nyingi zina ma-zoo, ndani yazo leo!

Mungu atashindwaje?
 
Hahaha masika, Simba, Chui, Fisi, Mbwa mwitu walifunga au nao walikula majani?!
Tumbo, vifaru, na wengine walao share kubwa walikula nini au nao walifunga kwa siku 40?!
Hawa wanyama walisikiaje huu wito, na je wote waliingia au nao wapo waliokaidi kwa kutokuamini kuishi kwenye safina bila kula wala kunywa?!
Saanane ni kisiwa kikubwa lakini hakina wanyama wote, serengeti ni kubwa lakini haina wanyama wote,, hiyo safina ilikuwa kubwa kiasi gani?!
 
Kwenye hizo imani hutakiwa kutafakari kwa maantiki mzee la sivyo utaambiwa una mapepo. Na ikishindikana kabisa utaambiwa ni kwa muujiza tu
 
Chimari nawe yee!
Hata apollo 15, kuna watu hawaamini ilifika mwezini, mpaka leo! siyo mbaya! kwa mtizamo wao! na kiwango cha uelewa wao! hakuna lisilowezekana kwake! mbona tuna- in door rearing today? na watu ni matajiri wakubwa tu, kupitia kazi hii?

tena anawalisha mwaka mzima. sembuse siku 40 tu, za kukaa safinani?

Baba yako mzazi asipokuonyesha mapesa ya urithi alipoficha, hutakaa umuamini mdogo wako akikwambia Baba kaacha mamilioni ya fedha!

Hata mimi mfano mwanzoni sikuamini unaweza kuona mtu wa Marekani live kwenye kadude kadoogo! kanaitwa simu, nilipinga hata nilipoona nilipinga kwa sababu sikujua!

Imani ya Mungu wa Ibrahim, Isack na Yakobo, the Sureme being si mali ya kila mtu, jamii ya Wa-Edomites, hawata kaa kamwe waelewe Mantiki ya neno la unabii piga ua garagaza,

Na Yesu alionya hivi; na nukuu '' don't curse your pearls in front of Swines, lest they trod on it, and Devour thee!

Mafarisayo walijua fika Yesu ni mwana wa Sir God, lkn walimpinga tu, hata leo ikitokea upingamizi wa hivo hatuwezi kushangaa! kwa sababu ni kizazi kilekile, kinaendelea but hakijitambui original yao ni wapi,

Ila sasa walio na upako wa Mwenye enzi ni rahisi sana kuwatambua, Sababu tunaishi nao tunakula nao, hakuna sehemu yeyote iliyoandikwa kwamba kizazi hiki kiliangamizwa, no walikuwepo na wapo, watakuwepo tena wengi kum-support Shetani!

Uzazi wa Cain haukuangamizwa hata kidogo, upo, kuna watu Mungu aliwachukia tena kwa kutamka wazi. mfano km Esau, alitwaa mke kwa wa-Edomites, Vizazi hivi Vipo leo hii hapa Duniani, vinaendelea. hawa sasa hawatakaa walielewe neno la unabiii!

Mungu aliwafunulia vijana wadogo Hekima yake! km kina Daniel, Meshack, Abednego, akawanyima wazee, wajanja, wenye mamlaka Elimu na maarifa.

Mpaka leo pasipo Mungu kufungua Akili hapana mtu awaye yote kujua Hekima yake!

Pale Eden Mungu alisema Hawa ni Mama wa viumbe vyote, yaani wale wa kizazi cha Nyoka na walio wa Mungu, sasa je unadhani kizazi cha nyoka kitajua kwa unyoofu mambo ya Mungu?
Hahaha tumeharibu uzi wa watu mkaruka, inabidi tuamishe mjadala kule jukwaa la dini.
Binafsi nampenda Mungu kwasababu naamini yeye kusamehe bila masharti, na haangalii ukubwa wa dhambi bali dhamira ya toba.

Hivyo naamini hata shetani mwana mpendwa mpotevu atasamehewa siku ikifika na atakuwa high table anakula bata na wenye wivu watanuna na kujinyonga.
 
Kwenye hizo imani hutakiwa kutafakari kwa maantiki mzee la sivyo utaambiwa una mapepo. Na ikishindikana kabisa utaambiwa ni kwa muujiza tu
Hahaha nakuelewa, hapa wanatudanganya lakini wakatuambia tuamini.

Jamani timeharibu huu uzi kabisa kwa masihara yetu.
 
Weee unaambiwa sijui Adamu sijui nani huko alikula sijui nanasi la watu yeye na mkewe basi weee kasheshe lake hilo hadi waliozaliwa baadae wakahesabiwa dhambi. Jamani huo si uonevu kabisa tundi au tunda wale wengine dhambi waambukizwe waakaozaliwa baadae
 
Hahaha hata wazazi wenye HIV siku hizi wanazaa watoto wasio na maambukizi, lakini unaambiwa dhambi ya Adam na Hawa ni contiguous kiasi kwamba hata iweje as long as umezaliwa hiyo unayo, haijapata chanjo wala kinga.
 
Daaah yaani hiyo sheria sio ya haki kabisa na kosa lenyewe ni kudokoa parachichi sijui lililokatazwa. Halafu ukizingatia wala hawakuomba kuumbwa wamajikuta tu wameshaumbwa
 
Back
Top Bottom