Kisutu, Dar: Hukumu ya Kesi namba 456 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums kutolewa Januari 22, 2020

Kesho hukumu saa ngapi ,kwa tuliopo city center tujitahidi kuwepo kuwatia moyo vijana wetu wakina max na mushi
Japo naamini tutashinda
Katika siku ninazo pata nazo shida kwenye moyo wangu.ni Leo na siku ya hukumu ya viongozi wa chadema.mungu tupo moyo na imani juu yako.wasije toa hukumu ya kulifungia jf Kwa miezi kadhaa kisa uchaguzi wa chadema usijulikane.washindwe kabisa hawa maibilisi
 
Hawa watu wanaojiita jamhuri sijui nini nini huko nilidhani wangefurahia uwepo wa jf na habari kama hiyo wanayoilalamikia ingewasaidia kupata pa kuanzia kufanya uchunguzi kuwa je ni kweli hiyo kampuni inakwepa vyodi? vyodi ni uwingi wa kodi samahani
 
Wana Jf kwa pamoja tuungane katika kuliombea hili manake wale wasio lipenda jukwaa hili inaonekana wazi ni jinsi kani wanavyo kesha usiku na mchana kuhakikisha hatupati uhuru wa kuwajadili ndani ya jukwaa hili.
Kila mmoja wetu aliombee hili ili haki ikatendeke.
 
Jamani case imefikia wapi? Tujuzane wengine tupo mikoani huko tupo nanyi kiroho
Mimi leo nilifika Kisutu, lakini kwasababu kila siku Mkuu Roving Journalist ndie huwa anatupa update, sii busara kwa mtu wa kuja kutoa update, mtu kala ng'ombe mzima, kabakiza mkia, kwa nini asimalizie?.

P
 
Kesi imeahirishwa tena hadi Januari 6
Mmmh hivi kusomewa tu hukumu ndio tarehe ndefu hivyo, ingawa najua mwisho wa mwaka na mwanzo kuna kuwa na mambo mengine ya kimahakama. Ila hii ni kuendelea kuumiza nafsi ya mtu bila sababu
 
Mmmh hivi kusomewa tu hukumu ndio tarehe ndefu hivyo, ingawa najua mwisho wa mwaka na mwanzo kuna kuwa na mambo mengine ya kimahakama. Ila hii ni kuendelea kuumiza nafsi ya mtu bila sababu
Bado wiki moja tu mahakama isitishe shughuli zake hadi mwakani.
 
Back
Top Bottom