BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,810
- 2,158
Unaongea as if tuko 1970s era'sYears back nilishalizungumzia hili..
Tanzania weka nyumba kama hizo na hawatajisumbua kununua unless ziwe na bei ndogo sana au la watu wanunue ili wazipangishe kwa wengineo hasa wanaoanza maisha (this is mostly out of DAR). Kuna perception low sana juu ya kuishi katika gated communities Tz na ndio maana wengi huamua kujenga wenyewe. It feels great to live in a house that feels like a home to your every need with a REAL PRIVACY.
Gated communities zipo vizuri visually ila satisfaction ni ndogo. Bad enough in Tz , estate planning is somehow low and therefore you may find streets full of Good & standard houses without the proper planning which makes it alittle visually attractive but Trust me, these people enjoy their settlements to the maximum
Wake up.
Dunia inabadilika.