Kisumu vs Mwanza

Omera this is Kisumu dala!
abgd30ajszozm5b8075f535c29.jpg
CnpmWNaXgAA7JFs.jpg
Ni vizuri kushabikia nchi yako lakini naomba nikukosoe. Hii hapa ni Nakuru Town bali si Kisumu pacho. Nimekuwa Mwanza na ni mji mzuri sana na pia nimekuwa Kisumu. Kisumu is just richer because of their diaspora (even those Luos within Kenya). Kwa waTanzania, miundo msingi ya Kisumu inaambatana na culture ya extravagance ya the Luo tribe. Lakini bado gap ya rich na poor Kisumu ni kubwa kama ilivyo Kenya nzima. Pia Kisumu iko na difference kubwa na Nairobi, nikama si Kenya. Same with Mombasa. Kwa aliye itisha mziki wa Kisumu, waKenya wa Great Lakes pande za Nyanza wako na mfumo wao unaitwa Ohangla na ni culure kubwa sana. Wacha nitag huo mziki hapo chini na pia kuna international song ya Suzanne Owiyo. Naomba niskize ya natives wa Mwanza (si ubishani bali niko na interest ya culture ya Mwanza). Wale wa pande za western wako na mfumo wao unaoitwa Isikuti. Nilikaa Mwanza kwa muda mfupi kwa hivyo sikuweza kuskia mfumo wa mziki wa huo upande, niereveusheni wenzangu. Tuache kulinganisha majumba na bara bara lakini tushabikie nchi zote mbili na kuerevushana kama watu wazima walio. Tukiungana tunaeza kujenga region kubwa sana Afrika especially at a time when trade has moved East. we are the gateway to the rest of Afrika
 
Well said brathe!!!
 
. Kisumu is still in Kenya and it's not just for Luos alone. Devolution, strategic positioning and good governance is what's making it developing fast into the Millennium City it is. The international community has chosen it to host the Afri-Cities conference come 2022 making it second to Nairobi to host the event.
 
Back
Top Bottom