Kiss on the neck...

heeh. Babu zamani mlikuwa mnafundishwa kurarana? Manake kizazi hichi tunajivumbulia wenyewe. Ndo maana tunapotea milango.


Ndiyo maana hata hamjui kuwa mitandao mingine haifai....

Kazi mnayo,

Babu DC!!
 
Kongosho kamaliza sisi akina old skul hakunaga hizo. Kuna mtu mwingine akikukiss ana harufu mdomoni siku nzima unaugulia ya nini?
 

JF kiboko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…