Kiss on the neck...

Kiss on the neck...

heeh. Babu zamani mlikuwa mnafundishwa kurarana? Manake kizazi hichi tunajivumbulia wenyewe. Ndo maana tunapotea milango.


Ndiyo maana hata hamjui kuwa mitandao mingine haifai....

Kazi mnayo,

Babu DC!!
 
Kongosho kamaliza sisi akina old skul hakunaga hizo. Kuna mtu mwingine akikukiss ana harufu mdomoni siku nzima unaugulia ya nini?
 
Old skul mkiingia rum tu, mkonga uko juu kama wa tembo

Na mwanamke akiona mkonga juu tu, mtera inaruusu maji

Hapo ni kurukiana tu kwa raha


Usidanganywe, raha ni ile ile, umepakazwa mate au lah
Mradi kilimani ufike, sioni haja ya kujichafua saaana

JF kiboko!
 
Back
Top Bottom