Kiss on the neck...

Kiss on the neck...

Kaka naona unanifanya watu wanione chizi, nimecheka sana...nikakumbuka mihogo ya kukaanga dah!

Hahaha...mkuu usicheke sana
Kumbe nawe unafahamu mambo ya chips dume, muhogo wenye unga unga unapasuliwa katikati halafu unapakwa chachandu kama vile kiatu kinapigwa brashi...unashushia na juisi ya miwa.
Hii mambo tumefanya sana wakati wa tuition za sekondari
 
well argued......yaani kama mimi nina kinyaa usipime.....
ulishasikia mwnamke analalama yaani nikilala na mwanamme ndio basi hata simu tena sipati ,ajichunguze sana uchafu wake ,haoshi papuchi vizuri jamaa akiingia akitoka amevalishwa kofia nyeupee,kikwapa kinatema,uvinza uvinza ndio usiseme na ndio nasemaga hata wanaume wanaoingia chumvini kweli kama sio mke wako na umemsafi au ni msafi sana mnakula uchafu sana lolololo .
 
ulishasikia mwnamke analalama yaani nikilala na mwanamme ndio basi hata simu tena sipati ,ajichunguze sana uchafu wake ,haoshi papuchi vizuri jamaa akiingia akitoka amevalishwa kofia nyeupee,kikwapa kinatema,uvinza uvinza ndio usiseme na ndio nasemaga hata wanaume wanaoingia chumvini kweli kama sio mke wako na umemsafi au ni msafi sana mnakula uchafu sana lolololo .
Halafu wewe Nivea katika siku uliyonikuna kwa hoja yenye nguvu nafikiri hii siku inaongoza. Ungekuwa karibu yangu ningekupatia zawadi.
 
ahsante kwa semina elekezi, ingawaje sikumaanisha hivyo inabidi hiyo uliyoelekeza iwe nyongeza.
na wewe ni dhaifu hahahahaahahahahah WANAWAKE WENGI NI DHAIFU HAPO SIUNAONA RATIO INAONGEZEKA HAPO JUU
 
wangu haupo kwenye neck, na mwanamke wa kawaida hawezi kuujua ulipo.
mimi mwanaume hawezi nificha nagundua tu ulipo ntampekenyua
''if you gonna play the game ,you should learn to play it right''
anyway usije sema umetongozwa jf bureeee ni maongezi yakikubwa haya lol
 
Nina meno ya kisomali, badala ya kuburudisha naweza jeruhi

Kwani hamuwezi kuadjust. Aisee mi Paw akirip nadhani nahama fani. I hope mapadri wanawake afu used watakuwa wamesharuhusiwa. Kha!
 
Love bites, ndo mpango mzima...mishipa inavyonyonywa mzunguko wa damu huenda vizuri, huondosha shinikizo la mawazo akilini...STRESS?
 
Sisi wa ONE TOUCH haya hayatuhusu....mapenzi hadi siku ya kutafuta mtoto mke anaishi na mkwewe wa kike wanalea watoto hadi wakue haya ya neck, b...t, chumvini, achali n.k hatupewi muda wa kujifunza.
 
ndio Boflo, kwani we ni Ke au Me?
 
Last edited by a moderator:
Old skul mkiingia rum tu, mkonga uko juu kama wa tembo

Na mwanamke akiona mkonga juu tu, mtera inaruusu maji

Hapo ni kurukiana tu kwa raha


Usidanganywe, raha ni ile ile, umepakazwa mate au lah
Mradi kilimani ufike, sioni haja ya kujichafua saaana

Old skul mnafanyaje..
btw mapenzi ni uchafu eti
 
Back
Top Bottom