Kiss on the neck...

siyo hiyo wewe mambo ykizamani hayo haman tena karne hii
 
He he he, ndio kikoje hicho?

Nimepata picha ya brash ya viatu

ni kama kishungi cha katani kinafungwa kwenye kipande cha mti...kinakuwa mithili ya sharubu za paka hivi
 
Kweli tembea ujionee. Chachandu inapakaliwa kwa brush? Mi nikajua unamwagia kila kitu na kipindupindu humo humo! Kha!
Halafu umkute mwanaume ana ulimi kama kibrashi cha chachandu...(kile huwa kinatumika kupaka chachandu kwenye chips dume)
 
Hamna kitu kizuri katika maendeleo ya mahusiano kama kiss. Kiss inamaana nyingi sana. Kiss ya sehemu yoyote ni kiburudisho tosha. Mifano ya Kiss
Kiss on the stomach = I'm ready
Kiss on the Forehead = I hope we're together forever
Kiss on the Ear = Your my everything
Kiss on the Cheek = You look so beautiful
 
Hahaha. Duh!
Hiyo brush ya hivyo Mama Ngina anatumiaga ku-glaze mkate kwa mayai ama butter. Uswahilini kuna visa.

Ntamuomba dingi Mtambuzi nije kukutembelea ila ile adoption acha kwanza aisee. Naogopa kumiss vitunguu swaumu vya misri.
ni kama kishungi cha katani kinafungwa kwenye kipande cha mti...kinakuwa mithili ya sharubu za paka hivi
 
Last edited by a moderator:
Si unajua wanawake wetu...kuku wa kienyeji,siku mikionana lazima ukamflash kwanza.
 
Kweli tembea ujionee. Chachandu inapakaliwa kwa brush? Mi nikajua unamwagia kila kitu na kipindupindu humo humo! Kha!

Best sasa ukiimwagia si itaisha haraka...chips dume lapakwa chachandu na kishungi fulani hivi mithili ya kile kishungi cha kupakia KIWI...ila chenyewe chatengenezwa locally kwa kamba ya katani.

Kinakuwa mithili ya hii picha hapa (ila hiki kimetengenezwa kiwandani)

Ha ha ha!!
Uswahilini ni chuo kikuu, kila aina ya maisha utajifunza...hebu ngoja turudi kwenye darasa letu la mahaba
Tuwaache wanaojua kupigana makiss waendelee na kujihemusha

Hahaha. Duh!
Hiyo brush ya hivyo Mama Ngina anatumiaga ku-glaze mkate kwa mayai ama butter. Uswahilini kuna visa.

Ntamuomba dingi Mtambuzi nije kukutembelea ila ile adoption acha kwanza aisee. Naogopa kumiss vitunguu swaumu vya misri.
 
Kidume kimetulia tuliii kama kinasali sala ya Baba yetu...sipati picha namna mikono ilivyo bize huko daunisteazi, maana hata mtoa kiss naona naye anasinzia tu

ETI Paloma HAWA WANAFANYA NINI ETI
 
kidume kimetulia tuliii kama kinasali sala ya baba yetu...sipati picha namna mikono ilivyo bize huko daunisteazi, maana hata mtoa kiss naona naye anasinzia tu
hapo kinachotokea hata ndom hawaikumbuki itakumbukwa baada ya khabari.na inakuwaga tamu hiyo .ila sababu kuna huyo mpiga picha watanyanyuka paaaap chumbani bila kuaga
 
Halafu umkute mwanaume ana ulimi kama kibrashi cha chachandu...(kile huwa kinatumika kupaka chachandu kwenye chips dume)

Kaka naona unanifanya watu wanione chizi, nimecheka sana...nikakumbuka mihogo ya kukaanga dah!
 
Well argued......yaani kama mimi nina kinyaa usipime.....
 
hahaaaa...bofloooo

aiseee acha kabisa ukikutana na mjuzi wa mambo unaweza ufaint kwa raha..

hyo kisi ya kwenye b..t nayo ni balaa.
.

Did you meant...kiss ya an.s au ulimaanisha huku nje nje...

Unaulizwa...xyz...unafanya nini....uhhh....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…