Kiss on the neck...

Kiss on the neck...

offcourse mi napenda sn cz huwa napata mccmko hatar mpk najihis napaa!!!!
 
by the way wat is masaburi sasa jaman??? mbona mmeniacha njiapanda mwenzenu???
 
Sipati picha nikifikiria ile chumvi chumvi ya kwenye shingo....:mwaaah::mwaaah:
 
Boflo ulimi ni zaidi ya mfupi hata mwanaume ukipata mwanamke anajua tumia ulimi vizuri unaweza badilisha swali lako likawa vise verse.
 
Last edited by a moderator:
it makes me feel so gud, warm and tingly inside...
I love it
ful kuchekelea...!
 
tha kiss is so tantalizing don remind me napenda sana ile hata akihemea tu hapo na kahewa cha motomoto aisee mchan huu niacheni nifanye kazi za watu hahahhahahahaah

Samahani napita tu nivea!!!!!
 
wadada wa jf ni kweli hayo??
mnasikia raha gani?
what abt kiss on masaburi?

out of the topic
Mhhh.. Boflo hii Avatar vipi? Nilijuwa wewe ni me sasa mbona unataka kutuchanginyi? Kama ni me rudisha ile ya Mettarazi bana ndo inakufanania...Ntarudi baadaye kuchangia ngoja nkatafute busu la shingo...LoL...

 
Last edited by a moderator:
Ila uwe tu umeoga mambo ya kumlisha mwenzio skebez siyo issue
 
Hiyo ya shingoni huitrwa LOVEBITE yaani chapa yake ni wiki na kila siku inabadilika rangi km mtoto mwenyewe ana u-White
Unachotakiwa ni kunyonya hiyo ngozi ya shingo hasa mnapokaribia mshindo na usiiachie hadi mmemaliza kwani hajisikii uchungu, Kwa ngozi za wenzetu Wahindi na Wazungu ndio hujionesha hasa wekundu wake hadi inapokuwa nyeusi
 
sipati picha nikifikiria ile chumvi chumvi ya kwenye shingo....:mwaaah::mwaaah:
mwanamke gani huyo mchafu aisee nilifundishwa kitu kimoja usikubali mpenzi wako akaona au akagundua una uchafu wowowte ,stimu inakata kaingiza ulimi sikioni anakuta uchungu uchungu kosa!!!anaakulamba anakuta chumvi chumvi kosa!anaona hedhi yako kosa!!wanaume ni dhaifu sana kitu kidogo anakudisqualify
 
Back
Top Bottom