Kisome kifungu 79(c) cha sheria ya posta ambacho pia kashtakiwa Bosi wa JF, kina kosa gani?

Mkuu nadhani bado hujaipitia Regulation 10 ya hiyo sheria kuhusu mambo ya Numbering na address.

"every businesses entity in Tz shall use dot-tz"
Okay let's assume hilo ni kosa kutotumia dot tz, adhabu yake ni nini? Na je, kwa nini anashitakiwa max badala ya kampuni kwa maana kampuni kama business entity is referred as a person isn't it? Kwa nini isishitakiwe kampuni badala yake anashitakiwa founder? Sheria imekaaja hapa?
 
Kuna kitu kinaitwa corporate veil, hiki ndo kinatenganisha kampuni na wamiliki and or executive, but hii concept ina apply kwenye civil cases tu (case za madai) lakini sio kwenye criminal cases.

Kuna ndugu yangu mmoja tena kaongelea swala la kwanini max pekee,, nadhani jibu sahihi watakalo kupa republic ni kwamba ndo executive official pekee tuliyeweza kumkamata wengine wameshandwa huenda kwasabau (hawawajui, wapo nje ya nchi kuwakamata inahitaje xtradiction or sababu nyingine tu).

Swala la dot-tz na do-tz is a curable defect and it can be healed bila kuharibu case. and kwamba dot-tz ni tofauti na .tz wont make it maana 1. "." = dot. 2. kwenye mambo ya kutafsiri sheria mahakama hutumia kitu "intention of the legislature" ili kujua kwanini sheria husika ilitungwa, and am very sure with this kind of interpretation they will reach to the conclusion that dot-tz the parliament meant .tz. sometimes the mahakama goes beyond the literal meaning of the word ("the grey area" were lawyers make lot of money).
 
Unajua sijaelewa kitu kimoja hapa...hivi ukiwa na kampuni yako nje, ila unakaa ndani ya nchi na maamuzi ya uendeshaji wa kampuni unayotoa ukiwa hapa ndani, labda kupitia emails, simu, fax, nakadhalika unatakiwa ulipe kodi hapa nchi, eti jamani!?
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]<br />[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]<br />[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]<br />[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Okay let's assume hilo ni kosa kutotumia dot tz, adhabu yake ni nini? Na je, kwa nini anashitakiwa max badala ya kampuni kwa maana kampuni kama business entity is referred as a person isn't it? Kwa nini isishitakiwe kampuni badala yake anashitakiwa founder? Sheria imekaaja hapa?

Kuhusu swala la adhabu kuna option 4, 1. fine 2. kifungo 3. fine na kifungo 4. compounding
offence jamii.PNG
 
Unajua sijaelewa kitu kimoja hapa...hivi ukiwa na kampuni yako nje, ila unakaa ndani ya nchi na maamuzi ya uendeshaji wa kampuni unayotoa ukiwa hapa ndani, labda kupitia emails, simu, fax, nakadhalika unatakiwa ulipe kodi hapa nchi, eti jamani!?

Kampuni italipa kodi huko nje ya nchi, lakini wewe pia utalipa kodi (income tax) Kama mtanzania
 
dot-tz means .tz this is IT terminology!
I know it means that but my point is that on a legal document every character, letter or number is examined individually, that's why when drafting a contract maximum care is required to avoid ambiguity or multiple interpretations.
My comment is not in connection with technicalities of the IT industry but rather the use of language on a document to be used in court.
 
Unajua sijaelewa kitu kimoja hapa...hivi ukiwa na kampuni yako nje, ila unakaa ndani ya nchi na maamuzi ya uendeshaji wa kampuni unayotoa ukiwa hapa ndani, labda kupitia emails, simu, fax, nakadhalika unatakiwa ulipe kodi hapa nchi, eti jamani!?
Kodi ipi kuna kodi za aina nyingi?
 
I know it means that but my point is that on a legal document every character, letter or number is examined individually, that's why when drafting a contract maximum care is required to avoid ambiguity or multiple interpretations.
My comment is not in connection with technicalities of the IT industry but rather the use of language on a document to be used in court.
Where the literal meaning of the legislation is absudy, the court uses the intention of the parliament, the mischeaf intended to be prohibited.
 
I know it means that but my point is that on a legal document every character, letter or number is examined individually, that's why when drafting a contract maximum care is required to avoid ambiguity or multiple interpretations.
My comment is not in connection with technicalities of the IT industry but rather the use of language on a document to be used in court.
Na kwenye criminal cases benefit of doubt inambeba accused
 
Kampuni italipa kodi huko nje ya nchi, lakini wewe pia utalipa kodi (income tax) Kama mtanzania
Asante kwa maelezo mazuri. Lakini mahesabu ya kampuni yangu watayajuaje kama , nitakuwa na account ya bank hukohuko!? Labda ni sikuchoshe...unaweza kunisaidia link yenye maelezo ya kutosha juu ya hili!? Nitashukuru sana.
 
Back
Top Bottom