Kisome kifungu 79(c) cha sheria ya posta ambacho pia kashtakiwa Bosi wa JF, kina kosa gani?

Kwa wale waliosoma IT na waliokuwa kwenye Biashara hizi za mawasiliano kwa muda mrefu au Taaluma hii au Mwanasayansi yeyote.

Sababu za "Regulation" au nguvu za Kimamlaka ni kwa ajili ya kuhakikisha Usalama wa vyombo vinavyotumika bila kumdhuru mwanadamu au wanyama
e862659f008a084bfda6fbe59384e188.jpg
yaani mtumiaji Kiafya au kuharibu/kuingiliana na mitambo mingine.

Vifungu hivi vinawapa nguvu mamlaka husika kuchunguza "radio active material" au virusi or mionzi mingene vitavyojitokeza kuhatarisha maisha ya mwanadamu au viumbe wengine.

Jamani eeeh, tusidanganyike na lugha. Sheria za Mitandao na hata zilizokuwa mbele ya Umoja wa Mataifa ni kulinda hadhi au privacy ya mtumiaji.

Sheria kote duniani za mitandao ya kwanza na iliyopewa Kipaumbele ni ile inayolinda siri ya Mtumiaji.

Ruksa ya kuvuna Siri ya Mtumiaji inaruhusiwa na Mahakama tuu peke yake tena baada ya kutoa sababu maalumu, na kama kuna kosa kubwa la jinai limefanyika dhidi ya taifa fulani kama vile Ugaidi au Uhaini unaotishia maifa ya maelfu ya watu. Na lazima watunga sheria, wanasheria walijadili kwa kina.
Kazi ya kuvuna siri ya mtumiaji inafanywa na wanaoshitaki tuu kutumia teknolojia waliyonayo. Sio wanaoshitakiwa au wanaohifadhi data kama JF.

Kutoa tuu siri za akina sisi wapiga debe na porojo kwenye hii mitandao sio haki na hamna faida yeyote Kiusalama.

Huku ni kupotezea mahakama muda wake na kuiletea nchi yetu sifa mbaya na pia kupoteza fedha za walipa kodi.

Rwanda na Misri wameonyesha Udikiteta huu wa wakuwazuia watu wasizungumze kwenye mitandao ya jamii. Wakati Ulaya ndio inasema kuwa hii ndio afya kwenye jamii yao, inaunganisha jamii na imeleta faida kubwa sana.

Kuzuia kuzungumza kwenye mitandao ni sawa na kuzuia jua lisiwake, au kuliwekea jua sheria za kuwaka. Na yeyote yule akayejianika kwenye jua basi ashitakiwe.

Serikali yetu isiogope kabisa hii mitandao. Mtajuaje fikra za wananchi wenu bila uhuru wa kuzungumza?? Muogope anayekaa kimya.
 
Melo Hana kesi

1.Kosa la kwanza na la pili-------------Amegoma kutoa taarifa kwa sababu kuna kesi mahakamani ambayo haijatolewa uamuzi ikipinga yeye kutoa hizo taarifa....Serikali walipaswa kusubiri kwanza maamuzi ya hiyo kesi

2.Kosa la tatu----Hakuna kesi hapo kwa sababu hiyo section inatoa tu uelekeo kwa mamlaka kuhamasisha matumizi ya .TZ
Mkuu nadhani bado hujaipitia Regulation 10 ya hiyo sheria kuhusu mambo ya Numbering na address.

"every businesses entity in Tz shall use dot-tz"
 
Ninavyoelewa kifungu kinaelezea kuhusu mamlaka ya TCRA juu ya .ccTLD kwa maana kuwa ni kosa endapo mtandao somehow unatumia .ccTLD lakini hauko chini ya TCRA. Hili la kumaanisha kuwa mtanzania haruhusiwi kumiliki .com etc sielewi hata mantiki yake.
 
Melo Hana kesi

1.Kosa la kwanza na la pili-------------Amegoma kutoa taarifa kwa sababu kuna kesi mahakamani ambayo haijatolewa uamuzi ikipinga yeye kutoa hizo taarifa....Serikali walipaswa kusubiri kwanza maamuzi ya hiyo kesi

2.Kosa la tatu----Hakuna kesi hapo kwa sababu hiyo section inatoa tu uelekeo kwa mamlaka kuhamasisha matumizi ya .TZ
And am very sure Kosa number tatu is the biggest battle and a good case for the Republic. Maana hayo mengine unaweza Ukatumia Katiba kuyapiga chini but not the third one.
 
Mkuu nadhani bado hujaipitia Regulation 10 ya hiyo sheria kuhusu mambo ya Numbering na address.

"every businesses entity in Tz shall use dot-tz"

Je inatoa option ya kusema kama unatumia vizuri mtandao haina haja ya kuwa na dot-tz?
 
And am very sure Kosa number tatu is the biggest battle and a good case for the Republic. Maana hayo mengine unaweza Ukatumia Katiba kuyapiga chini but not the third one.

Nakubaliana na ww kwenye hilo.....
 
Bila kuweka "only" je automatically inamaanisha shall not use any other.....?
Exactly both. the assamption in law is that what is not provided or allowed by law is automatically prohibited. Am thinking of an idea kwamba Max is not a Business entity, jamii forums is. Kwahiyo wakushitakiwa kwa kuvunja hizo regulations ni kampuni ya Jamii forums an not Max.
 
..nadhani akipata dhamana,ataenda kulalamika mahakama kuu kuhusu kosa la kwanza na la pili na inawezekana kesi mbili zikazuiwa kusubiri maamuzi ya mahakama kuu

Ndo maana wamepiga nyundo dhamana isitoke. Sasa hivi wanatamba watakavyo maana washaambia kuna muhimili dume unaopaswa kusikilizwa kila unapokohoa..
 
Nakubaliana na ww kwenye hilo.....
I did company law a long time ago, and siko kwenye practice. But nadhani Max and Jamii forums are two different persons in law. Jamii forums ndo wamefanya kosa la kutotumia hiyo Domain but not Max. In practice nakumbuka it is very difficult to lift the coporate veil and sue company officials,, but something also rings in my mind kwamba in criminal cases mambo ya kuseparate owners na company ni controversial.
 
Exactly both. the assamption in law is that what is not provided or allowed by law is automatically prohibited. Am thinking of an idea kwamba Max is not a Business entity, jamii forums is. Kwahiyo wakushitakiwa kwa kuvunja hizo regulations ni kampuni ya Jamii forums an not Max.
Thank you.
 
And am very sure Kosa number tatu is the biggest battle and a good case for the Republic. Maana hayo mengine unaweza Ukatumia Katiba kuyapiga chini but not the third one.
Hata kosa la tatu litawatoa jasho na watapigwa chini

Labda ule mhimili uliochimbiwa chini zaidi uingilie maamuzi
 
Back
Top Bottom