Kisome kifungu 79(c) cha sheria ya posta ambacho pia kashtakiwa Bosi wa JF, kina kosa gani?

Exactly both. the assamption in law is that what is not provided or allowed by law is automatically prohibited. Am thinking of an idea kwamba Max is not a Business entity, jamii forums is. Kwahiyo wakushitakiwa kwa kuvunja hizo regulations ni kampuni ya Jamii forums an not Max.
What is not allowed or provided is automatically prohibited?

Hii ni principle ya criminal law? Ninachojua huwezi kumfunga mtu bila kifungu kinachoelezea kosa alilofanya

Maoni yangu,what is not specifically prohibited by enactment,then it is allowed
 
This is how the law provide. sidhani kma inaruhusu kutumia any other Domain, kwa language hii. remember the legal implication of the word "shall" wangekuwa wametumia neno "may" hapo ndo tungesema una option ya kufanya au kutokufanya, kutokutumia ama kutukutumia but not with this language with due respect mkuu.
jamii forums.PNG
 
the only option ambayo ipo "

Kivipi Boss.? take a look of this View attachment 446974
Hapo aliyetenda kosa ni maxence au ni Jamii Media Co Ltd?

Kampuni hii ina wanahisa wangapi? Kwa nini ashitakiwe mmoja?

Je jamii forum makao makuu yake ni wapi/nchi gani? Kwa nini tu assume ni Tanzania?

Wakati inafunguliwa rasmi,muhusika alikuwa wapi? the first click kuiweka hewani ilifanyika nchi gani? Na kama ni nje ya nchi,je haihesabiwi kwamba ina originality ya huko?
 
Hukujua sababu ya kuchukua cert. za Brela na TIN?
 
Hapo aliyetenda kosa ni maxence au ni Jamii Media Co Ltd?

Kampuni hii ina wanahisa wangapi? Kwa nini ashitakiwe mmoja?

Je jamii forum makao makuu yake ni wapi/nchi gani? Kwa nini tu assume ni Tanzania?

Wakati inafunguliwa rasmi,muhusika alikuwa wapi? the first click kuiweka hewani ilifanyika nchi gani? Na kama ni nje ya nchi,je haihesabiwi kwamba ina originality ya huko?
I reserve most of your concerns but to make some comments.

Kinachodetermin whether Jamii forums ni mtanzania au foreigner ni wapi kafanyiwa registration kama kampuni regardless of the first click.
Ukiangalia kwenye charge sheet naona imefanyiwa usajili Tanzania.

Kwenye swala la wanahisa wangapi. Nakumbuka kwamba kampuni yoyote ile kama ikiwa ni ya kigeni lazima ufanye registration ya subsidiary company Tanzania ndo uruhusiwe kuoparate. Hata kama inawanahisa wakenya wengi, kwakuwa imeshafanyiwa registraion bongo (whether as a main or subsidiary company) basi hapo kampuni ni ya tanzania. sometimes company is very separate from their shareholders.
 
Jamii Forum ni kampuni,if so, kwa nini kampuni isishtakiwe wakati tunajua kampuni ni legal person?

kama wameamua kushtaki wamiliki,ni wazi sheria hairuhu kampuni(hata iwe private limited) kumilikiwa na mtu mmoja,je kwa nini wanahisa wengine wa kampuni wameachwa akachaguliwa mmoja?
 
Hizo sheria huenda wanazi-copy google kutoka sheria za nchi zingine ndio maana unakuta hata wanaotakiwa kuzisimamia hawazielewi.
 
Jamii Forum ni kampuni,if so, kwa nini kampuni isishtakiwe wakati tunajua kampuni ni legal person?

kama wameamua kushtaki wamiliki,ni wazi sheria hairuhu kampuni(hata iwe private limited) kumilikiwa na mtu mmoja,je kwa nini wanahisa wengine wa kampuni wameachwa akachaguliwa mmoja?
Am not sure if the principle of corporate
veil applies the same kwenye criminal cases as it applies in civil cases. But from my very little knowledge najua the principle does not apply in criminal cases.

Kuhusu kwanini yeye tu. I hope this wont be a good defense. Maana huwezi ukasema tulioua ni nane kwanini mumenikamata mimi tu. Nadhani kama nikiwa Mwanasheria wa Republic i will only say "bado tunaendelea na investigation ya directors wengine, tukiwakamata tutawafikisha kwenye vyombo vya sheria"
 
So,police waliomba taarifa ya mambo ya JF kwa kampuni au kwa maxence kama mtu binafsi?

May be kampuni haijawa addressed.

Ukisema kwamba unachagua mmoja unamshitaki kwa kosa la watu watano(abebe mzigo wa wenzake) si sahihi,na of course,kosa ni la kampuni,halibebwi na mtu binafsi
 
Mkuu umesema ukweli tupu kama ninavyojua mimi.
 
So,police waliomba taarifa ya mambo ya JF kwa kampuni au kwa maxence kama mtu binafsi?

May be kampuni haijawa addressed.

Ukisema kwamba unachagua mmoja unamshitaki kwa kosa la watu watano(abebe mzigo wa wenzake) si sahihi,na of course,kosa ni la kampuni,halibebwi na mtu binafsi
Nafikiri kwenye criminal case anashitakiwa executives na wala si kampuni
 
Mkuu nadhani bado hujaipitia Regulation 10 ya hiyo sheria kuhusu mambo ya Numbering na address.

"every businesses entity in Tz shall use dot-tz"
Legally, "dot-tz" na ". tz" ni vitu viwili tofauti. Hakuna domain inayoweza kuandikwa kwa mfano www.jamiiforumsdot-tz, bali www.jamiiforums.co.tz.
Hapa wataalamu wa sheria wanasemaje mfano hiyo charge sheet ikiwasilishwa mbele ya hakimu muelewa?
 
Back
Top Bottom