hizo ni stori tu mkuu, hayo mambo hayapo tena siku hizi.Nasikia huko Kama ukipatana na demu mathalani utamlipa buku 10 baada ya kula papuchi yake, uhakikishe utamlipa la sivyo hautorudi au watakutumia mamba. Kule wanaweza kukutumia mamba hadi bafuni. Kimsing huko ni pazuri kama hautaleta mambo yako ya mjini mjini hasa utapeli
Kaone lile jiwe linalocheza likiimbiwa na wazee wa mila!
Nasikia huko Kama ukipatana na demu mathalani utamlipa buku 10 baada ya kula papuchi yake, uhakikishe utamlipa la sivyo hautorudi au watakutumia mamba. Kule wanaweza kukutumia mamba hadi bafuni. Kimsing huko ni pazuri kama hautaleta mambo yako ya mjini mjini hasa utapeli
hizo ni stori tu mkuu, hayo mambo hayapo tena siku hizi.
mkuu hilo jiwe wageni hawaendi abudu, bali huenda kuona na kujua whats going on na hizo story, na ukifika hapo utajua kila kitu. Sema sijataka kuwa wa kuongelea hilo hapa. Watalii mbali mbali hufika kwenye hilo jiwe kuliona, last week naambiwa kuna wanafunzi 10 kutoka Germany walifika pia kuliona hilo jiwe. Kwa kifupi ni jiwe la kihistoria na sio la kuabudia. Ni sawa sawa na kwenda kuona kabuli la Nyerere, Au mnara wa waanga wa MV. Victoria. Kilichopo hapo sio miujiza.sasa naanza kumwelewa trump kwanini alikuwa analalama afrika itawaliwe tena. karne hii bado kuna wanaoabudu mawe?? kaazi kweli!
Mkuu kumbuka kuwa hao ni wapagani, na huyo ndo mungu wao, sio huko tu bali ni maeneo mengi sana watu wanaabudu miungu! Huko india kuna watu wanaabudu ng'ombe kama mungu wao! Hao nao utawasemaje?sasa naanza kumwelewa trump kwanini alikuwa analalama afrika itawaliwe tena. karne hii bado kuna wanaoabudu mawe?? kaazi kweli!
Mkuu tena umenikumbusha uliposema wanafunzi kutoka German walikuwa pale, na niongezee tu kuwa ni wanafunzi wengi sana kutoka nchi za nje huenda pale kuangalia uhusiano wa kisayansi uliopo unaohusisha hilo jiwe na kucheza kwake!mkuu hilo jiwe wageni hawaendi abudu, bali huenda kuona na kujua whats going on na hizo story, na ukifika hapo utajua kila kitu. Sema sijataka kuwa wa kuongelea hilo hapa. Watalii mbali mbali hufika kwenye hilo jiwe kuliona, last week naambiwa kuna wanafunzi 10 kutoka Germany walifika pia kuliona hilo jiwe. Kwa kifupi ni jiwe la kihistoria na sio la kuabudia. Ni sawa sawa na kwenda kuona kabuli la Nyerere, Au mnara wa waanga wa MV. Victoria. Kilichopo hapo sio miujiza.