Kisiwa cha Kome Mkoani Mwanza chateketea kwa moto usiku wa leo

Visiwa kama hivi inatakiwa waamishe watu wote wakiuze kwa mtu mwenye hela. Kwanza ni kidogo wakazi 3000 sio wengi wawatoe wampe tajiri afanye yake. Watu 3000 wakizaliana hovyo lazma ujenzi uwe wa kiholela hapo tegemea majanga tu
 
Huijui kome n hujui chanzo n moto n sehemu iliyoungua n sehem tu ya kisiwa ambapo n makazi ya wavuvi n nihifadhi hawaruhusiwi kujenga nyumba za kudum hivyo kabla hujashauri lijue vizuri eneo husika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri watakuwa wanahifadhi petroli kwa ajili ya zile mashine za uvuvi, sasa kama kila kibanda kina dumu la petroli moto ukitokea hapo ni majanga...
 
Ni wavuvi wa Samaki. Machine / engine wanazotumia zinatumia petrol hivyo kupelekea bidhaa ya petrol kuwa na mahitaji makubwa. Pia hawana vituo vya mafuta maeneo ya karibu kutokana na geographical location hivyo kupelekea kununua petrol kwa wingi kwenye vituo vya mafuta na kuileta hapo kisiwani na kuihifadhi ndani ya makazi yao.
Kwanini wanakaa na petrol sana ndani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom