Kisingizio: Daftari la Wapiga Kura, vyombo vya dola. Sababu?

Mkuu Matola ni kweli Lema ni Mwamba wa Arusha ukipenda unaweza kumwita jembe la ukweli lakini jiulize ni kwanini ametoswa Kamati kuu ya CDM na M4C ?.Be honest kuna baadhi ya mambo nilisema juu yake leo nafurahi wapo viongozi wakuu wa CDM wananukuu nondo zangu jembe lako siku hizi kampeni zake mwisho Daraja II,Kijenge,Kaloleni,Sombetini,Sokoni na akisogea kidogo Arumeru.

Nakala: Ritz chama TUMBIRI Crashwise Jembe Ulaya EMT

All in all nimefarijika na kufurahishwa kuona kwamba Lema ndio Mwamba wa Arusha, ameendesha kampeni makini na kuwanyang'anya CCM kata ya daraja mbili licha ya CCM kuwatumia majambazi kama Mjusi kutisha wapiga kura.

Lema ndio Arusha na Arusha ndio Lema, najuwa hii kwako ni ngumu kumeza lakini habari ndio hiyo. ukitaka kulijuwa hili vizuri muulize Chatanda, Wassira au Ole Sendeka.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Matola ni kweli Lema ni Mwamba wa Arusha ukipenda unaweza kumwita jembe la ukweli lakini jiulize ni kwanini ametoswa Kamati kuu ya CDM na M4C ?.Be honest kuna baadhi ya mambo nilisema juu yake leo nafurahi wapo viongozi wakuu wa CDM wananukuu nondo zangu jembe lako siku hizi kampeni zake mwisho Daraja II,Kijenge,Kaloleni,Sombetini,Sokoni na akisogea kidogo Arumeru.

Nakala: Ritz chama TUMBIRI Crashwise Jembe Ulaya EMT
Matola alinunuliwa pikipiki na Lema basi mpaka leo hakuna mtu kama lema. Njaa mbaya jamani
 
Last edited by a moderator:
Mimi siwzi kuulaum uongozi hata kidogo coz uchaguzi wa 2010
nilihusika katika nafasi kubwa kama msimamizi wa mawakala kata. Na mahali ambapo
nisimamia nilifanikiwa kupata diwani lakini kwa kulinda kura kwa siku 2.

Ukiangalia/kusikia matarajio ya watu, wengi wanafikiri cdm iko juu kivile!!, lakini wanasahau kuwa watz
hatupedi kupiga kura kwenyehizi chaguzi za Madiwani na S/mitaa. ukitaka kujua uliza kule kwa Tundu Lissu
kuna madiwani wangapi? watu wa Ubungo watakuambia kura hazikulindwa, lakini jiulize yeye na Halima ambao walipata mawakala wazuri wanamadiwani wangapi?

Mimi kama mimi tangu mwezi 9 2012 nimeamua kutumia mda mwingi kwa kuwaeleza watu umuhimu wa kuwa nas/mitaa
na madiwani. Hata mda ninaopa juukwaani ndiyo kazi ninayofanya na sasa hivi naanda programu ya kukuta na viongozi
wa matawi wa kata yangu ili kuanzisha mzunguko wa msingi kwa msingi na kijiwe kwa kijiwe ili kufikisha ELIMU hiyo
kwa kila mpiga kura wa kata yetu.
 
Mkuu Matola ni kweli Lema ni Mwamba wa Arusha ukipenda unaweza kumwita jembe la ukweli lakini jiulize ni kwanini ametoswa Kamati kuu ya CDM na M4C ?.Be honest kuna baadhi ya mambo nilisema juu yake leo nafurahi wapo viongozi wakuu wa CDM wananukuu nondo zangu jembe lako siku hizi kampeni zake mwisho Daraja II,Kijenge,Kaloleni,Sombetini,Sokoni na akisogea kidogo Arumeru.

Nakala: Ritz chama TUMBIRI Crashwise Jembe Ulaya EMT

Mkuu Ngongo,
Tunashukuru sana kwa kutapasha habari kwenye ili suala la Lema, hakuna Pro-Chadema yoyote humu JF ambaye yupo tayari kuyasema haya...kweli ndio maana siku hizi Lema kajichimbia Arusha, na Arumeru.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Prof Ritz ndiyo ushangae mpaka double cabin ya M4C kashalirudisha kimya kimya,kawazuga machaliii wa Ar kwa kumwita mtoto wake M4C lakini hajawaambia kakwapua milioni 25 ha ha ha ha Lema kweli kiboko.

Mkuu Dr Ngongo, Makamanda wote hapo A Town wanamuogopa Lema.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Dr Ngongo,
Lema kwenye masuala ya pesa namjua ebu waulize makamanda hapo Arusha, Lema alikimbia Mwanza kwa issue gani kama wanajua.
 
Last edited by a moderator:
Duh hii ni hatari, Kikwete amesababisha sasa hata taaluma zinazalilishwa kwa viwango hivi? eti mheshimiwa Ritz ni Profesa na Ngongo Mzee wa chuki binafsi ni Dr!!....
 
La muhimu kutambua kwa viongozi ni kwamba, chama kinapata umaarufu kutokana na udhaifu/ubovu wa ccm, si kwamba watu wanapenda sera za cdm (maana wengi hawazijui). Tunakipenda cdm kwa kuwa tunaamini ndo mbadala pekee uliopo kwa sasa. Hivyo ni muhimu viongozi wakajikita katika kujiimarisha zaidi kwa kutoa elimu ya uraia na kuelimisha watu kuhusiana na sera za chama, mpaka watu ziwaingie. Vinginevyo, kikitokea chama kingine ambacho kitaonekana kuwa serious zaidi (au ccm ikifufuka), wananchi watahamisha concentration huko na hivyo cdm kupoteza umaarufu wake.

Hii ndo sababu wengine wanaamini kwamba hivi ni vyama vya msimu. Watanzania tunavipenda kutokana na frustration ya jinsi ccm inavyotufanyia...inatukomoa, ufisadi ndo kauli mbiu, hakuna anayejali maslahi ya wananchi. Kimsingi tunatafuta mbadala, kwa sasa tunadhani ni chadema; kama ilivyokuwa nccr au cuf miaka ya nyuma.
 
Naomba uniambia (baada ya uchaguzi) Chadema ilichukua hatua gani baada ya kunyimwa kutumia fomu namba 17?....

Tulipeleka malalamiko tume ya uchaguzi na kwa msajili wa vyama vya siasa ili hatua zichukuliwe lakini, hakuna mabadiliko yoyote yaliyochukuliwa.

H
ivi unafikiri haya mambo yanafanywa kwa bahati mbaya Jembe Ulaya yanafanyika kimkakati kabisa, hakuna haki kwenye hii nchi.

S
isi tulipigwa kwenye uchaguzi daraja mbili lakini, tukaripoti police watu wakakamatwa lakini wakaachiwa hata tukiwa bado hatujatoka hospital, nani aitendee haki chadema wewe! Nyie mnaongea kama watu msiojua mfumo wa utawala wa hii nchi!
 
Mkuu Matola ni kweli Lema ni Mwamba wa Arusha ukipenda unaweza kumwita jembe la ukweli lakini jiulize ni kwanini ametoswa Kamati kuu ya CDM na M4C ?.Be honest kuna baadhi ya mambo nilisema juu yake leo nafurahi wapo viongozi wakuu wa CDM wananukuu nondo zangu jembe lako siku hizi kampeni zake mwisho Daraja II,Kijenge,Kaloleni,Sombetini,Sokoni na akisogea kidogo Arumeru.

Nakala: Ritz chama TUMBIRI Crashwise Jembe Ulaya EMT

Wewe Ngongo ni muongo sana, hakuna mahali ambapo Lema haendi kwenye hii Nchi, ni si kweli eti Lema katoswa kamati kuu au M4C, Lema wakati M4C inaendelea mke wake alikuwa anatajia kujifungua ikabidi aache kusafiri awe karibu na Arusha, msiongee vitu msivyojua undani wake! Sasa ngoja awamu nyingine M4C inakuja Jembe linaanza kutoka nje ya Arusha CCM mjipange mstari kuvuliwa magamba mtindo mmoja!
 
Last edited by a moderator:
La muhimu kutambua kwa viongozi ni kwamba, chama kinapata umaarufu kutokana na udhaifu/ubovu wa ccm, si kwamba watu wanapenda sera za cdm (maana wengi hawazijui). Tunakipenda cdm kwa kuwa tunaamini ndo mbadala pekee uliopo kwa sasa. Hivyo ni muhimu viongozi wakajikita katika kujiimarisha zaidi kwa kutoa elimu ya uraia na kuelimisha watu kuhusiana na sera za chama, mpaka watu ziwaingie. Vinginevyo, kikitokea chama kingine ambacho kitaonekana kuwa serious zaidi (au ccm ikifufuka), wananchi watahamisha concentration huko na hivyo cdm kupoteza umaarufu wake.

Hii ndo sababu wengine wanaamini kwamba hivi ni vyama vya msimu. Watanzania tunavipenda kutokana na frustration ya jinsi ccm inavyotufanyia...inatukomoa, ufisadi ndo kauli mbiu, hakuna anayejali maslahi ya wananchi. Kimsingi tunatafuta mbadala, kwa sasa tunadhani ni chadema; kama ilivyokuwa nccr au cuf miaka ya nyuma.
dazu Sera za CCM unazijua? Unafikiri watanzania huko vijijini wanachagua sera? Acheni kudanganya watu, wangekuwa wanachagua sera mbona chadema ina sera nzuri kuliko za CCM? Tujadili mambo ya muhimu kuimarisha CHAMA tuache kuwasingizia wananchi! Mfumo chaguzi bado unaipendelea CCM uchama dola bado ni tatizo, rasilimali fedha kwa chadema inachangia kushindwa kuwafikia watu kwa kampeni, CCM wanatumia fedha nyingi kuhonga wapiga kura na mawakala wa CHADEMA hasa maeneo ambayo hawajajitambua, tume inaibeba CCM kwa kutoruhusu uboreshwaji wa daftari wakati wa chaguzi inazua watu wengi kupiga kura, haiwezekani watu wawe wanahudhuria mikutano kwa maelfu halafu wasipige kura kwa sababu yoyote ile ni uongo, watu wengi hawana shahada na ni mkakati wa ushindi kwa ccm!
 
Last edited by a moderator:
Wewe @Curriculum Specialist ni mkweli sana bahati mbaya unashabikia jambo usilolijua undani wake sasa nakwambia chukua muda wako chunguza bila kengeza la mapenzi utashangaa Ngongo kajuaje ?.Si siri hii habari ipo kila mahali ni wewe tu hujui halafu unataka kutuaminisha wewe ni kamanda wa CDM !.

Wewe Ngongo ni muongo sana, hakuna mahali ambapo Lema haendi kwenye hii Nchi, ni si kweli eti Lema katoswa kamati kuu au M4C, Lema wakati M4C inaendelea mke wake alikuwa anatajia kujifungua ikabidi aache kusafiri awe karibu na Arusha, msiongee vitu msivyojua undani wake! Sasa ngoja awamu nyingine M4C inakuja Jembe linaanza kutoka nje ya Arusha CCM mjipange mstari kuvuliwa magamba mtindo mmoja!
 
Wanachama, wapenzi, na mashabiki wa CHADEMA wanapaswa kuwa wakali kidogo (au sana) ili chama kiweze kutoa maelezo yanayoeleweka ya kwanini matokeo haya hayakuwa mazuri kama watu walivyokuwa wanaaminishwa au kutarajia. Kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015 CHADEMA ilitakiwa iwe inasukumwa na upepo wa ushindi lakini hali sivyo ilivyo.

Kama majibu ya kueleweka hayapo ipo haja ya haraka ya kuanza kudai watu wawajibike au wawajibishwe.

To be continued....[/QUOTE]
No.KATACCMCDMJumlaTofautiTofauti Asili mia
1Magomeni (Pwani)1,478.004791,957.0099951.047522
2Bangata1,117.008811,998.0023611.811812
3Daraja mbili1,324.002,193.003,517.00-869-24.70856
4Mahenge7104441,154.0026623.05026
5Mtibwa1,372.003,096.004,468.00-1,724.00-38.5855
6Mtele9952971,292.0069854.024768
7Mpapai1,443.002801,723.001,163.0067.498549
8Luwumbu5652559054091.525424
9Malangali1,247.001,418.002,665.00-171-6.41651
10Lwezera1,317.009252,242.0039217.484389
11Makata8083884677091.016548
12Mlelomiembeni81813895668071.129707
13Minyenze378
16754521138.715596
14Karitu854
3541,208.0050041.390728
15Kiloleni648
16681448259.213759
16Ipole365
568933-203-21.75777
17Bugarama
18Mwananza794
5751,369.0021915.997078
19Lubili1,108.00
6201,728.0048828.240741
20Kitagiri1,416.00
1571,573.001,259.0080.038144
21Kikokona1,149.00
3671,516.0078251.583113
22Nanjaraneha1,128.00
2,370.003,498.00-1,242.00-35.506
23Kilema Kusini784
7341,518.00503.2938076
24Vugiri1,460.00
3371,797.001,123.0062.493044
25Tamota1,060.00
7721,832.0028815.720524
26Msalato869
4501,319.0041931.76649
27Mpwapwa1,722.00
1,189.002,911.0053318.309859
28Myovizi1,726.00
1,498.003,224.002287.0719603
29Mpapa903
3101,213.0059348.887057
JUMLA29,558.00
20,848.0050,406.008,710.0017.279689
Mzee kijiji chunga sana hapa.
 
Kwanza elewa CHADEMA haiko hewani bali iko miongoni mwetu sisi wenyewe, na ni hatari sana kudhani kwamba ni mwana CHADEMA peke yake ambaye ndiye mwenye haki ya kutoa mawazo yake dhidi ya vyama vingine au chama chake. Kwa mtazamo wa haraka haraka Mzee Mwanakijiji ameshakuwa "irresponsible" kwa vile tu anashikilia mantiki kwamba CHADEMA haiwezi kuwa chama imara kama hakijajijenga sasa hivi na wala si mwaka 2014 au 2015.
Kama ndizo fikra zako kuwa CHADEMA NDIO WENYE HAKI YA KUTOA MAWAZO YAO mara zote utakuwa ukiwapinga bila sababu,na mara nyingi utatoa mawazo bila fikra kwa vile ubongo wako tayari umeshajengewa mtazamo.

Mzee Mwanakijiji naweza sema ni irresponsible si kwa vile kasema hayo, ila kwa vile hajaweza onyesha wapi panahitajika kujengwa na kwa kiwango kinachozidi wanachofanya CHADEMA.Ukiachilia mbali nia yake na mission yake, alichokuwa akifanya hakuna mtu mtendaji duniani anaweza simama kumsikiliza mtu halafu anakuambia you need to change.Halafu unapomsikiliza kwa makini unagundua kuwa hawezi sema zaidi ya "unahitaji change,ukirudia wapi ?anakuambia kuna mahali tuu huwezi kosa,ukimbana tena anakuambia kwani wewe ni perfect?".Hakuna hiyo logic ndugu yangu.Dunia haipo perfect kihivyo,ndio maana sehemu nyingi watu wanafanya vitu vinavyoleta majibu ya matatizo yetu.CDM wamefanya walivyofanya na wanavyoendelea fanya hadi wakawa chama imara cha upinzani na sasa ni tishio kwa CCM kila kona.
Na hoja yetu ni kwamba sasa hivi CHADEMA kijigeuze toka kikundi cha watu ambao kazi yao kubwa ni kushutumu CCM na Serikali yake na kuwa Chama cha siasa kilichobeba matumaini ya watanzania kwa kuwaonyesha dira (au ramani) tofauti na waliyo nayo CCM. Mwalimu alitamani Tanzania iwe na vyama viwili vikubwa lakini vyote visimamie Ujamaa chini ya Azimio la Arusha kama ilivyo Marekani ambapo Demokratik na Ripablikan wanasimamia Ubepari. CHADEMA inasimamia nini tofauti na CCM.
Kwa bahati mbaya hilo ndilo jukumu la chama cha Upinzani, na mbaya zaidi CCM imezama ktk tope la shutuma na makosa ya makusudi wala si ya kizembe.Makosa haya yanaangamiza taifa kila nyanja.

Kuwa chama chenye matumaini hakuamaanishi kuwa huhitaji kukosoa anachofanya aliye madarakani na kuweka yako mapya.Hizo ni percesl za matumaini.Daktari hafanyi kazi ya kutibu ugonjwa ambao ni tayari tuu pia huweka Kinga.Chama cha upinzani pia wanakazi ya kutibu ugonjwa wa chama Tawala ,huku wakikinga mengine na kujenga mazingira ya nchi kuendelezwa na watu wake kwa faida ya watu wote.Matumaini hujengwa ktk hivyo.Hakuna matumaini ya uadilifu kwa miradi iliyopo chini ya CCM, na hakutokuwa na matumaini kwa yale CCM waliyoyaahidi.{Ia hakuja matumaini kwa uchunguzi wowote utakaofanywa na CCM kuweza fichua uovu uliotendeka.CDM pamoja na kuwa wapinzania ktk hayo wamefanya vizuri.Na ni matumaini ya watu.
Wagombea wa CHADEMA wasiingie kwenye chaguzi eti kwa sababu kuna chaguzi bali wawe na ajenda maalum waliyoibeba. Na ukilinganisha nguvu inayotumiwa kwenye kufanya chaguzi ni kubwa sana kuliko inayowekezwa kwenye maeneo husika wakati si wa uchaguzi. Kwa mfano M4C kwa Morogoro ilitumia kiasi gani cha fedha na tangu itoke chama kimewahi kupeleka hata sawa na asilimia 10 ya fedha zilizotumika kwenye M4C Morogoro!?

Hii ni kauli dhaifu sana.Waingie tuu kwenye chaguzi ,kwa sababu kuna chaguzi??????give me a break.Upo nchi gani na unahadaiwa na nani?Na nani kakunyima haki ya kufuatilia au kusikia habari peke yako?Mbona mambo mengi ya CDM yapo ktk media mbalimbali?Ukifungua gazeti huwa habari za CDM unampelekea mukama akutafsirie kwanza au?Inawezekana kwa vile wana CCM ndio watu pekee wasioelewa habari iliyo wazi hadi waaambie na kupewa tafsiri na mwenyekiti.

Sasa umeongea nini ktk red?SIpati mantiki kabisa.Nguvu nyingi zipi?Nilikuwa napenda sana Collin Powell`s Doctrine ya kuingia katika vita kwa nguvu zote ili kuimaliza haraka bila madhara.Kama ungeangalia Nguvu za CCM na faulu wachezazo bado ungeona CDM wanahitaji tumia nguvu kamili km za Arumeru.Kutumia nguvu kidogo halafu ktk ya vita ukagundua ulihitaji nguvu zaidi ni kushindwa vita,kwani panaweza pasiwe tena na muda wa kuongeza hizo nguvu kama adui atakuwa kakuweka sehemu ya kupambana just for survival.Pia uje kuwa nguvu sahihi zinamwacha adui bila mashaka kuwa hakuwezi na hivyo hatoona haja ya kujaribu tena pambano.Waulize CCM hai,arusha, iringa Mjini, mbeya, na kwingine kama ni worth uchaguzi kurudiwa?Kila kitu kipo clear kuwa hali yao ni ngumu.Wakati ukiwauliza CCM wapi wapo tayari kurudia mtanange wa ubunge na CDM zaidi ya kukimbilia visiwani unguja, bara hata jimbo la JK pia watakuwa na wasiwasi.

M4C umewahi uliza ilikuwa na lengo gani
 
Kama ndizo fikra zako kuwa CHADEMA NDIO WENYE HAKI YA KUTOA MAWAZO YAO mara zote utakuwa ukiwapinga bila sababu,na mara nyingi utatoa mawazo bila fikra kwa vile ubongo wako tayari umeshajengewa mtazamo.

Mzee Mwanakijiji naweza sema ni irresponsible si kwa vile kasema hayo, ila kwa vile hajaweza onyesha wapi panahitajika kujengwa na kwa kiwango kinachozidi wanachofanya CHADEMA.Ukiachilia mbali nia yake na mission yake, alichokuwa akifanya hakuna mtu mtendaji duniani anaweza simama kumsikiliza mtu halafu anakuambia you need to change.Halafu unapomsikiliza kwa makini unagundua kuwa hawezi sema zaidi ya "unahitaji change,ukirudia wapi ?anakuambia kuna mahali tuu huwezi kosa,ukimbana tena anakuambia kwani wewe ni perfect?".Hakuna hiyo logic ndugu yangu.Dunia haipo perfect kihivyo,ndio maana sehemu nyingi watu wanafanya vitu vinavyoleta majibu ya matatizo yetu.CDM wamefanya walivyofanya na wanavyoendelea fanya hadi wakawa chama imara cha upinzani na sasa ni tishio kwa CCM kila kona.

Kwa bahati mbaya hilo ndilo jukumu la chama cha Upinzani, na mbaya zaidi CCM imezama ktk tope la shutuma na makosa ya makusudi wala si ya kizembe.Makosa haya yanaangamiza taifa kila nyanja.

Kuwa chama chenye matumaini hakuamaanishi kuwa huhitaji kukosoa anachofanya aliye madarakani na kuweka yako mapya.Hizo ni percesl za matumaini.Daktari hafanyi kazi ya kutibu ugonjwa ambao ni tayari tuu pia huweka Kinga.Chama cha upinzani pia wanakazi ya kutibu ugonjwa wa chama Tawala ,huku wakikinga mengine na kujenga mazingira ya nchi kuendelezwa na watu wake kwa faida ya watu wote.Matumaini hujengwa ktk hivyo.Hakuna matumaini ya uadilifu kwa miradi iliyopo chini ya CCM, na hakutokuwa na matumaini kwa yale CCM waliyoyaahidi.{Ia hakuja matumaini kwa uchunguzi wowote utakaofanywa na CCM kuweza fichua uovu uliotendeka.CDM pamoja na kuwa wapinzania ktk hayo wamefanya vizuri.Na ni matumaini ya watu.

Hii ni kauli dhaifu sana.Waingie tuu kwenye chaguzi ,kwa sababu kuna chaguzi??????give me a break.Upo nchi gani na unahadaiwa na nani?Na nani kakunyima haki ya kufuatilia au kusikia habari peke yako?Mbona mambo mengi ya CDM yapo ktk media mbalimbali?Ukifungua gazeti huwa habari za CDM unampelekea mukama akutafsirie kwanza au?Inawezekana kwa vile wana CCM ndio watu pekee wasioelewa habari iliyo wazi hadi waaambie na kupewa tafsiri na mwenyekiti.

Sasa umeongea nini ktk red?SIpati mantiki kabisa.Nguvu nyingi zipi?Nilikuwa napenda sana Collin Powell`s Doctrine ya kuingia katika vita kwa nguvu zote ili kuimaliza haraka bila madhara.Kama ungeangalia Nguvu za CCM na faulu wachezazo bado ungeona CDM wanahitaji tumia nguvu kamili km za Arumeru.Kutumia nguvu kidogo halafu ktk ya vita ukagundua ulihitaji nguvu zaidi ni kushindwa vita,kwani panaweza pasiwe tena na muda wa kuongeza hizo nguvu kama adui atakuwa kakuweka sehemu ya kupambana just for survival.Pia uje kuwa nguvu sahihi zinamwacha adui bila mashaka kuwa hakuwezi na hivyo hatoona haja ya kujaribu tena pambano.Waulize CCM hai,arusha, iringa Mjini, mbeya, na kwingine kama ni worth uchaguzi kurudiwa?Kila kitu kipo clear kuwa hali yao ni ngumu.Wakati ukiwauliza CCM wapi wapo tayari kurudia mtanange wa ubunge na CDM zaidi ya kukimbilia visiwani unguja, bara hata jimbo la JK pia watakuwa na wasiwasi.

M4C umewahi uliza ilikuwa na lengo gani

haya ndiyo wanayopigia kelele uamsho lakini na nyinyi hamtaki kuwafahamu kwani mumenyweshwa chuki na mkaimeza kwa nguvu yote , Na tuendelee tu na uchaguzi bila daftari jipya
 
Wewe Curriculum Specialist ni mkweli sana bahati mbaya unashabikia jambo usilolijua undani wake sasa nakwambia chukua muda wako chunguza bila kengeza la mapenzi utashangaa Ngongo kajuaje ?.Si siri hii habari ipo kila mahali ni wewe tu hujui halafu unataka kutuaminisha wewe ni kamanda wa CDM !.
Ngongo humu jamii forum tuna utamaduni wa kutoa source ya habari, maana hatupendi udaku, kikao cha mwisho cha kamati kuu kilichokutana Dar kuahirisha zoezi la M4C baada ya mfululizo wa mauaji kwenye mikutano ya chadema, Lema alihudhuria na kwenye press release ya chama tulimuona kwenye TV alikuwepo, hizo habari zako ni za lini na source yake ni ipi? Usipende kuzusha mambo! Chuki zako binafsi kwa Lema isiyowe chacho cha kuwalisha watu taarifa za uongo! Toa source ya habari yako au tamko la chama lilisema Lema si mjumbe wa kamati kuu kuanzia sasa! Mambo ya kusema eti taarifa zipo kila mahali maana yake nini, wewe si ndo unasambaza uongo kila mahali!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom