KERO Visimbuzi vya antenna vya Azam vinasumbua Arusha

KERO Visimbuzi vya antenna vya Azam vinasumbua Arusha

  • Thread starter Thread starter Anonymous (c723)
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Watumiaji wa Antenna za Azam mkoani Arusha kila ikifika saa Moja jioni Channel zinaanza kuganda ganda , mbaya zaidi channel pia zinaendelea kupungua mara kwa mara.

Ukiwasiliana na huduma kwa wateja Azam wanasema umlete fundi arekebishe na wakati mchana channel zinakuwa hazina shida.

Hata unapotaka kubadili kisimbuzi cha antenna ili uchukue cha Dish, wanakataa wanasema mpaka kununua cha dish ila huduma ya kubadilisha hawakubali aliyakuwa wakati unanunua Antenna wanasema iko vizuri na channel zinaonesha hata matangazo yao wanasema Antenna iko sawa. Sasa Antenna wanauza za nini kama wanajua zinasumbua? na kwa nini hawazipokei kama mtu imeshindwa kufanya kazi kwake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom