Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,815
- 218,476
😆😆😆Hizi timu za kiswahili hizi? wataendelea kujikomba kwa matajiri hadi lini?
Mbaya zaidi zimeua timu za mikoa, mashirika mbalimbali, pamoja na taasisi za mpira
Ni jambo la kawaida mtu kuhujumu timu ya mkoa wake ili hizi timu mbili ambazo zinaathiri uchumi wa nchi, zinaletea watu uzuzu ws kufikiri.
Utakuta mchezaji kasajiliwa na timu tofauti na hizi lakini utasikia ni mshabiki wa timu hizi
Zimeua michezo tofauti na soka, viwanja vya michezo mingine havipo
Mtoto anazaliwa anakosa alternative ya mchezo hata angekuwa ana kipaji cha volleyball, basket, handbal, tenis, riadha nk hana sehemu ya kujiendeleza kila mtu anayekutana naye ni maneno ya SIMBA,YANGA, MYAMA, UTOPOLO,
Mpaka Mchakato wao ukae sawa Simba SC tayari Bingwa wa Afrika.Uto wanashangilia ujinga wanadhani timu inajengwa kwa msimu mmoja.
Muwe mnatoa na option, maana mkiambiwa Wanachama mchangie mnatoa 300!!Eti kishindo.!! hizi mentality zinatu cost sana.
Kama nakuunga mkono hivi.Hizi timu za kiswahili hizi? wataendelea kujikomba kwa matajiri hadi lini?
Mbaya zaidi zimeua timu za mikoa, mashirika mbalimbali, pamoja na taasisi za mpira
Ni jambo la kawaida mtu kuhujumu timu ya mkoa wake ili hizi timu mbili ambazo zinaathiri uchumi wa nchi, zinaletea watu uzuzu ws kufikiri.
Utakuta mchezaji kasajiliwa na timu tofauti na hizi lakini utasikia ni mshabiki wa timu hizi
Zimeua michezo tofauti na soka, viwanja vya michezo mingine havipo
Mtoto anazaliwa anakosa alternative ya mchezo hata angekuwa ana kipaji cha volleyball, basket, handbal, tenis, riadha nk hana sehemu ya kujiendeleza kila mtu anayekutana naye ni maneno ya SIMBA,YANGA, MYAMA, UTOPOLO,
Sasa matusi ya nini, mkuu si ndio wameanza, tatizo nini Manji kuwepo au. Huu ni mwanzo tu kwahiyo wasifurahi?Uto wanashangilia ujinga wanadhani timu inajengwa kwa msimu mmoja.
Kwani, Unateseka ukiwa wapi? Wewe hapo simba umechangia nini zaidi ya kulamba miguu ya bwana yule? Fikiria kidogo tu?Mpaka Mchakato wao ukae sawa Simba SC tayari Bingwa wa Afrika.
Hata hivyo Kanjibai Manji alikuwepo akaahidi kuifanya Yanga SC kuwa Klabu Bora Afrika, kujenga Uwanja wa Kaunda lakini Vyote Vilibuma.
Kwahivyo hana Maajabu Yaani..
Na bila Kanji mwamed, mungelikuwa mshashuka dalaja kabisa. Bisha wapi kawaokota mooo.Bila Manji je utopolo ni mwadui iliyochangamka?
Jibu swali, bila Manji je utopolo ni Mwadui iliyochangamka?Na bila Kanji mwamed, mungelikuwa mshashuka dalaja kabisa. Bisha wapi kawaokota mooo.
Hizi timu za kiswahili hizi? wataendelea kujikomba kwa matajiri hadi lini?
Mbaya zaidi zimeua timu za mikoa, mashirika mbalimbali, pamoja na taasisi za mpira
Ni jambo la kawaida mtu kuhujumu timu ya mkoa wake ili hizi timu mbili ambazo zinaathiri uchumi wa nchi, zinaletea watu uzuzu ws kufikiri.
Utakuta mchezaji kasajiliwa na timu tofauti na hizi lakini utasikia ni mshabiki wa timu hizi
Zimeua michezo tofauti na soka, viwanja vya michezo mingine havipo
Mtoto anazaliwa anakosa alternative ya mchezo hata angekuwa ana kipaji cha volleyball, basket, handbal, tenis, riadha nk hana sehemu ya kujiendeleza kila mtu anayekutana naye ni maneno ya SIMBA,YANGA, MYAMA, UTOPOLO,
Nitajie timu ambayo haijikombi kwa tajiri kati ya hizi timu mbiliHizi timu za kiswahili hizi? wataendelea kujikomba kwa matajiri hadi lini?