Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

Mimi si mwanachama ila ni mwandishi tu Lakini nitamsikiliza
Molemo unaipaga Raha Sana familia yangu ujue.yaani nikionaga jina kwenye thread linaitwa Molemo hua nasoma kwa amani na furaha mno.nafuatilia kila komenti yako sasa hivi.CDM nawakubali Sana aisee.
 
Na CDM kimeongeza wanachama kutoka milioni 4 hadi 6 kwa kipindi cha miaka minne
Nakupa taarifa usiyoijua,CDM Ina wanachama wengi sana wasio na kadi kuliko hao wanachama wenu wenye kadi.Sisi tusio na kadi tuko milioni Saba( 7) ila nyie hamjui tu.watu wengi wanaogopa kuchukua kadi kwa sababu wakijulikana watadhoofishwa kimaisha na kiuchumi na jamaa wale wa upande wa pili.mimi Nina orodha ya watu wengi Sana wanaipenda CDM kufa na kupona lkn hawana kadi.
 
Kwanini mnafanyia mkutano maeneo ya kifahari ili hali wapiga kura wenu ni maskini

Inaboa sana kwa kweli
[/QUOTE Nasikia ukumbi umekodiwa kwa tsh. 89ml. Harafu walikodi ndege kwenda mwanza kwenye uhuru kwa tsh. 234ml. Nimda wakula mafao ya kodi zetu, huu niufisadi mkubwa. Kwani ukiangalia chama hakina ofisi nzuri kuanzia taifa mpaka wilayani, ukiangalia wenzetu ccm wanaofisi nzuri mpaka vijijini. Kiukweli safari hii tutahamasishana kutopereka wabunge wa chadema bungeni ili mkoswe rudhuku.
 
Swala la mwenyekiti wetu mh. Mbowe kukodi ukumbi wa mamilioni kwaajiri ya uchaguzi pale mlimani city pamoja nakukodi ndege kwenda kuomba maridhiano utadhani tulikutuma, hayo namengine mengi mwenyekiti mbowe hatujakuelewa, kumbuka chama hatuna ofisi nzuri kuanzia taifa hadi mayawini wewe na genge lako lakina john mlema mnakula ten patcent kwenye kukodi ndege na kumbi kubwa, tulipaswa hayo yakujenga ofisi zetu za chama makao makuu na mikoani pamoja na wilayani tuwe tumemaliza ktk kipindi ambacho tumepereka wabunge wengi mwaka 2015. Kwakuwa umeshindwa hayo tutakiadhibu chama mwaka 2020 naona hii nijeuri ya rudhuku ambayo kimsingi inatoka kwetu wapiga kura.
 
CCM Bana...Mbona mna hofu hivyo?
Haha...imebidi niangalie kulia na kushoto maana sikuamini kuwa mimi ndiye niliyepewa jina hilo.
But seriously sometimes it becomes more exciting to wait for things to happen and let the people take the surprise of the reality.
 
Kwanini mnafanyia mkutano maeneo ya kifahari ili hali wapiga kura wenu ni maskini

Inaboa sana kwa kweli
Ulitaka wafanyie kwenu? Hujiulizi wanaonunua ndege huku watz wakiwa maskini,wakulima na wastaafu wanasota hawajalipwa pesa zao?
 
Nakupa taarifa usiyoijua,CDM Ina wanachama wengi sana wasio na kadi kuliko hao wanachama wenu wenye kadi.Sisi tusio na kadi tuko milioni Saba( 7) ila nyie hamjui tu.watu wengi wanaogopa kuchukua kadi kwa sababu wakijulikana watadhoofishwa kimaisha na kiuchumi na jamaa wale wa upande wa pili.mimi Nina orodha ya watu wengi Sana wanaipenda CDM kufa na kupona lkn hawana kadi.
Umeandika ukweli mtupu Kamanda wangu
 
Swala la mwenyekiti wetu mh. Mbowe kukodi ukumbi wa mamilioni kwaajiri ya uchaguzi pale mlimani city pamoja nakukodi ndege kwenda kuomba maridhiano utadhani tulikutuma, hayo namengine mengi mwenyekiti mbowe hatujakuelewa, kumbuka chama hatuna ofisi nzuri kuanzia taifa hadi mayawini wewe na genge lako lakina john mlema mnakula ten patcent kwenye kukodi ndege na kumbi kubwa, tulipaswa hayo yakujenga ofisi zetu za chama makao makuu na mikoani pamoja na wilayani tuwe tumemaliza ktk kipindi ambacho tumepereka wabunge wengi mwaka 2015. Kwakuwa umeshindwa hayo tutakiadhibu chama mwaka 2020 naona hii nijeuri ya rudhuku ambayo kimsingi inatoka kwetu wapiga kura.
MwanaLumumba tangu lini ukaitakia CDM mafanikio?
 
Back
Top Bottom