Kishindo Mkutano Mkuu CHADEMA ; Mabalozi na Taasisi za Kimataifa wathibitisha kushiriki!

Hao Mabalozi wamepewa ruksa, wasije kujikuta mkutano unaisha unaisha pamoja nao.
 
Mkuu hayo yanayoendelea ni ya kuwataki kheri
Kuna kitu kimoja kimetia doa sana suala zima na ndiyo maana nikasema hiyo ni ''missed opportunity''. Uchaguzi mzima umegubikwa na mambo yasiyo na majibu kwa wanaofuatilia

SUMAYE;
Niweke wazi kwamba ameshindwa uchaguzi katika sanduku la kura.

Hata hivyo kushindwa kwake kuna acha maswali mengi sana kwa kuangalia historia ya CDM
Imesemwa mara nyingi ukitaka kukutana na mkono wa chuma, zungumzia uenyekiti

Hayo yaionekana kama maneno na uzushi, lakini kwa hali ilivyo kuna sababu za kujiuliza.

Sumaye alijiunga na CDM kama akina Lowassa. Tofauti na wenzake yeye alianza siasa za chama ngazi za mitaani. CCM walimtania kuwa alicheza ''ligi za mchangani''

Hii ni baada ya kuwa mwenyekiti wa kanda ya Pwani.
Katika kipindi chote hatuskusikia malalamiko kuhusu uongozi wake katika kanda hiyo.

Sumaye akachukua fomu za kuwania uenyekiti wa kanda.
Alikuwa mgombea peke, na bila shaka wanachama wengine waliona ni maji marefu.
Hakuna aliyejitokeza kupambana naye

Katika kura Sumaye akashindwa na kivuli.
Yaani akashindwa kuchaguliwa licha ya kuwa m/kiti wa kanda na mgombea pekee.

Halikutokea kwa bahati mbaya, kulikuwa na sababu na mikono ya watu nyuma yake

Hilo ni baada ya kuchukua fomu za Uenyekiti wa Taifa.

Kwa dhalili aliyokumbana nayo, akajitoa katika chama. Ukimsikiliza Prof Safari kwa umakini kuna kitu kinachozungumziwa.

Ule ushindani uliotarajiwa na ambao ungekijenga chama chao, kukifanya kiwe tofauti umekufa.

Swali la kujiuliza, kampeni ya kumwangusha Sumaye imefanywa na nani na kwa lengo gani?
Narudia tena hilo halikutokea kwa bahati, ilikuwa ni ''calculated move''

Pili, Mwenyekiti Mbowe akiwa na miaka takribani 15 hakuwa na sababu za kuanza kampeni kwa kutumia kundi la ''mwaba tuvushe''. Alitakiwa achukue fomu kawaida ili kuleta uwanja sawa

Haya ni maoni yangu, lakini nasimama nayo kwa kusema ''kuna kitu hakipo sawa''

Pascal Mayalla

..uliyosema ni kweli.

..lakini Sumaye amekuwa na haraka kubwaga manyanga.

..nadhani anaamini kuwepo kwake cdm he is doing them a favour.

..Mbowe alishaonyesha kuwa he was ready to correct the mistakes that happened ktk uchaguzi uliombwaga Sumaye.
 
Kundi la wahuni tu. Mbowe ni mafioso. Hana adabu huyo mwenye chama. Haiwezekani akamkosea adabu mzee Sumaye kiasi kile.
 
..uliyosema ni kweli.

..lakini Sumaye amekuwa na haraka kubwaga manyanga.

..nadhani anaamini kuwepo kwake cdm he is doing them a favour.

..Mbowe alishaonyesha kuwa he was ready to correct the mistakes that happened ktk uchaguzi uliombwaga Sumaye.
Nadhani Sumaye kubwaga Manyanga haraka ni jambo la maana sana.
Ilikuwa kudhalilika kwa hali ya juu sana, kwamba, hata kivuli kilimshinda katika sanduku la kura!

Ilikuwa ni lazima Mbowe aonyeshe ''kuguswa' na suala zima, hilo alifanya kujikosha tu.
Huwezi kuwa kiongozi wa chama wa kuteuliwa, Sumaye alitaka kugombea

Mbowe alikuwa na hofu na Sumaye, na kwa namna 'fulani' ana mkono kwa anguko la Sumaye

Mbowe alitakiwa akemee kundi la '' mwamba tuvushe'' ambalo basically ni lake

Kundi hilo linatia shaka sana kama halikuendesha kampeni dhidi ya Sumaye

Huu uchaguzi unaosemwa Mbowe ameshinda kwa kishindo haukutakiwa uwe hivyo
Kulitakiwa 'heavy duty' wapambane na Sumaye alimtishia sana Mbowe

Kilichotokea Mlimani City kwakweli ni ukakasi tu, hilo sijui kama kuna anayebisha.

Ukitaka kuona kuna jambo achilia mbali la Sumaye ni Mbowe kutangaza ongezeko la ada
Hilo halikuwa muhimu kuliko kuweka muda wa kiongozi madarakani. Sijui kama lilijadiliwa, sina uhakika.

Baada ya uchaguzi na mauza uza hayo, subiri , kuna kuna tatizo linafuata! ni kubwa.
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom