Kishindo Cha 4R za Rais Samia, mgogoro baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa maridhiano.

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
3,117
Reaction score
5,321
Hakika falsafa ya 4R ni msingi wa amani na mshikamano wa kiuchumi si TU kwa Tanzania bali baina ya nchi na nchi na Leo katika kusheherekea matokeo ya 4R ni kwamba mgogoro wa usafirishaji na zuio la mazao baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa njia ya maridhiano. Hakika vitendo vina nguvu na 4R ni falsafa ya kuiishi
 
Acha kudanganya watu sio kila mwenye bichwa ana akili
 
Hakika falsafa ya 4R ni msingi wa amani na mshikamano wa kiuchumi si TU kwa Tanzania bali baina ya nchi na nchi na Leo katika kusheherekea matokeo ya 4R ni kwamba mgogoro wa usafirishaji na zuio la mazao baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa njia ya maridhiano. Hakika vitendo vina nguvu na 4R ni falsafa ya kuiishi
Utakandwa kinyeo na maji ya uvuguvugu boya wewe
 
Mimi sizijui hizo 4R naomba uzichambue zote na utudadavulie kinagaubaga namna zimesaidia kufika maridhiano na Malawi. Asante
 
Hakika falsafa ya 4R ni msingi wa amani na mshikamano wa kiuchumi si TU kwa Tanzania bali baina ya nchi na nchi na Leo katika kusheherekea matokeo ya 4R ni kwamba mgogoro wa usafirishaji na zuio la mazao baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa njia ya maridhiano. Hakika vitendo vina nguvu na 4R ni falsafa ya kuiishi
4R nenda kazitumie nyumbani kwako na mama yako anayekulisha. Usituletee ujinga humu!
 
Hakika falsafa ya 4R ni msingi wa amani na mshikamano wa kiuchumi si TU kwa Tanzania bali baina ya nchi na nchi na Leo katika kusheherekea matokeo ya 4R ni kwamba mgogoro wa usafirishaji na zuio la mazao baina ya Tanzania na Malawi umemalizika kwa njia ya maridhiano. Hakika vitendo vina nguvu na 4R ni falsafa ya kuiishi
Lofa katika ubora wake.
Mzee Mkapa hakukosea kuwaita malofa.
Apumzike kwa amani Mzee BWM.
 
Back
Top Bottom