Nakumbuka nasoma tosamaganga lyalamo p/s.tukipata nafasi kuja iringa mjini,njia panda ya tosa tunakaa kwanza tunashangaa mabasi.Basi kila mmoja anajipa jina la basi mojawapo.mara mimi tawaqal,sijui mimi kiswele mara upete,mwanahapa,scandnavia,matema beach.hiyo iringa anasumbua comfort.longtime sana.