NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,858
Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka.
Trump kuwa spika inaweza kuwa ni mwiba mkali sana kwa uongozi wa Biden, Trump kuwa spika ni fursa kwake kupata uwanja wa kujipaisha kisiasa kwenda kugombea upya urais 2024 ama kuwa influential kumweka rais ataempendekeza.
Hadi sasa viongozi kadhaa wa Republicans wameapa kumu impeach Biden.