Kisa sh. 100 ukatokea bonge la ugomvi

Kisa sh. 100 ukatokea bonge la ugomvi

Kuna point moja tu ya msingi hapa ya kumuomba Muumba wako msamaha kwa kuchukia watu bila sababu,. na hapana shaka watu wa jamii yako uwa ni vilaza coz kwa watu waliostaarabika huwa hata tukikwazwa huwa tunasamehe moja mara sabini.. afu ushauri tu issue zingine unatakiwa kuuuchuna sio kupost thread ambazo haziendani na jukwaa hili, poor you!
ukiniambia kuwa hii maada haiendani na hili jukwaa mimi nitakujibu kuwa wewe ndio hauendani na hili jukwaa, pusi wewe.
 
Usijifanye unajua sana. Kwani maana ya Mahusiano ni nini? au unafikiri mahusiano ni kukutanisha vikojoleo vyenu tu?
Yaani nimetokea kukuchukia ghafla....aaarrgh

nashukuru kwa msaada mkuu, wanataka kila muda waone maada za kugegedana ndio wajue upo sahihi
 
Unaona sasa dhambi ya kuchukia ghafla watu bado unayo kumbe msamaha uliomba pale kwa Mungu ulikuwa wa kinafiki,..May be u have to check your physiological status labda una Mimba!
kabla haujajibu, jua una mjibu nani na ni kwanini.... umetoa majibu yasiyohusiana na muhusika. wewe ndio kapime kama una mimba au la
 
Psychologically kwa human being ipo iyo kitu ya kumchukia mtu bila sabab u cant avoid it! kama unaweza kumpenda mtu bila kuongea nae jst the first sight bas uamin unaweza kumchukia mtu bila sabab on the first sight trust me or not-
 
Mtu ni nini, ni mwili,roho na nafsi!
Kila kitokeacho mwilini kimeanzia rohoni...
huko kwenye ulimwengu wa Roho kuna mahusiano pia, kama roho zenu hazipatani huko, hakika matokeo huonekana kwenye ulimwengu huu uonekanao,ndicho kilichokutokea,na huwa yanatokea saaana tu.
 
Usijifanye unajua sana. Kwani maana ya Mahusiano ni nini? au unafikiri mahusiano ni kukutanisha vikojoleo vyenu tu?
Yaani nimetokea kukuchukia ghafla....aaarrgh

ha ha ha ha looolz jamaa kwel una pepo la kuchukia watu bila 7bu..
 
ukiniambia kuwa hii maada haiendani na hili jukwaa mimi nitakujibu kuwa wewe ndio hauendani na hili jukwaa, pusi wewe.
Mi sikuchukii ndugu yangu ingawa umenitusi na katika huu ulimwengu wa wastaarabu ambao wewe haupo nakusamehe, najua ujui ulitendalo,. but i cannot let u go without say anything.. my young bro u need to behave sio kila mtu wa kumtukana..Angalia, jipange!
 
Hahahahaha nawe si ungeacha tu ka mia tu lol,hiyo hutokea dam kutopatanaa
 
Mmmmh punguza chuki.jamaa umemchukia kwa text yake tu.balaaaa
 
Mi sikuchukii ndugu yangu ingawa umenitusi na katika huu ulimwengu wa wastaarabu ambao wewe haupo nakusamehe, najua ujui ulitendalo,. but i cannot let u go without say anything.. my young bro u need to behave sio kila mtu wa kumtukana..Angalia, jipange!

kama mimi ni mdogo wako then inakupasa uone aibu kwa kuzidiwa uwezo wa kufikiri na mdogo wako. kama wewe kubwa zima umeshindwa kujua hii maada hili ni jukwaa lake lakini dogo kama mimi nimejua hilo, your useless MAY BE.
 
Tukiacha mzaha kuchukia sio jambo zuri hata kidogo hasa kwa mtu ambae hujawahi kumuona, usipende kumchukia mtu bila ya sababu huwezi jua mtu unaemchukia ukija kukutana nae kumbe yuko tofauti na vile unavyomfikiria

Muhimu na wewe muhusika usiwe unapenda kutoa michango ya chuki/yenye chuki sisi binaadamu hakuna aliekamilka tusameheane naweza jiona niko sawa kumbe kwa mwingine/wengine ni zaidi ya majanga au wewe unaweza jiona uko sawa kumbe kwa upande wangu/wetu tunakuona wewe majanga pia
 
Back
Top Bottom