Kisa kilichotokea wakati wa kutafuta mekyuri

Niagazie na andazi moja au bajia
 
Aya
 
Kumbe haya mambo ni kweli? Kuna mzee mmoja alishanisimulia kuwa anasaka mekyuri kwenye mapango na ml 500 yaani kopo dogo la maji la sh. 500 unauza milioni mia tano nikamwambia umepotea-sijui kama alishapata lakini
Wasaka mercury na wasaka mali za mjerumani akili zao zinafanana.. Kama hiyo mali inalipa kiasi hicho basi hiyo biashara ingevamiwa na wengi
 
Watanzania wengi tunapenda kutumia imani za kishirikina kutafuta madini.wakati akija mzungu kawekeza hana chota na kuondoka.
 
Wasaka mercury na wasaka mali za mjerumani akili zao zinafanana.. Kama hiyo mali inalipa kiasi hicho basi hiyo biashara ingevamiwa na wengi
Hakika hawa jamaa watakuwa na shida sehemu, kuna mdau mmoja kataja kuwa ni biashara ya kuwalaghai wastaafu na nimekubaliana nae kwa kiwango kikubwa maana hata huyo mzee aliyenipa stori za mekyuri na kuomba nimpe pesa akakomboe mzigo wake ni mstaafu.
Hii biashara itakuwa ni ya kijanja janja na haipo katika uhalisia isipokuwa kuwapora wasiojielewa.
 
Wastaafu na vijana waliopigika mitaani
 
Sijajua tatizo linakuwa wapi kwa hao madogo. Yupo dogo mmoja naye hivo hivo kila neno la A anaweka H.
Na neno VIZURI hawezi kabisa andika yeye anaandika VINZURI.
Nawaza kumchinjia Ngamia.


Namuuliza mama yako vipi
Ananiambia bado ANAHUMWA HUMWA
Nimemwambia ukikosa kazi kwa mwandiko huu utamlaumu nani
Ananiambia eti kazoea hivyo
 
Wadau ni story ya kweli na mpk Sasa Kuna mzee kastaafu jeshi kapigwa pesa mpk namuonea huruma na tupo kwenye mpango wa kumsanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…