Kisa kilichotokea wakati wa kutafuta mekyuri

Ungekuwa karibu ningekufanyia interview katika kipindi changu cha simulizi za maisha. YouTube

Hii stori ni nzuri mno.
mimi nina story ya kweli kwenye milima ya morogoro (maeneo ya mikese ile ya kulia kama unaenda Moro). ni kweli na ya kusisimua sana. ila mpaka mwisho sikufanikiwa ila nilikuja kujua siri nyingi za mali za wakoloni katika milima ile. Unasemaje unaweza kuiweka youtube?. Ilikuwa jeuri yangu niaota ndoto nikamsimulia kaka mmoja Freedom Tommorrow akanipa tafsiri ya kweli na tafsiri ilinisaidia sana jinsi ya kuingia katika mapango marefu ila sikufanikiwa kama aliyenitafsiria ndoto alivyoniambia,
 
Mwaga stori hiyo mkuu
 
Miaka 5 iliopita nilipata tamaa ya kutafuta rupia lkn wkt naendelea nikaskia kuhusu mekyuri.

Bei ya mekyuri ilinishtua sana ilinipa tamaa ya kwenda kutafuta

Mekyuri inapatikana kwenye mapango ya nyoka wakubwa ili uipate ni lzm nyoka atoke nje

Nilikutana na mzee mmoja huko milima ya Usambara akasema ipo sehemu na alishatoa mwanzo akadhurumiwa na Dada mmoja wa Kenya kwahio Kama nataka twende lkn malipo ni mpk tutoe mzigo

Masharti unatakiwa usilale na mwanamke na usiage unaenda wapi. Nilitimiza masharti

Lkn kwasababu skua mzoefu na mazingira alitafutwa kijana mwengine tukaelezana akakubali na akasema ataingia yeye. Akaelezwa masharti akakubali.

Siku ikafika tukaenda eneo la tukio hakika panatisha Sana. Tulivyofika tulikuta jiwe kubwa lenye tundu kubwa kuzama ndani.

Mzee akakita fimbo pembeni zaidi ya pango Kisha akapaka dawa mdomo na kumwaga dawa eneo lile.

Alivyopiga mluzi tu ebwana bonge la nyoka mithiri ya tairi la trekta lile kubwa. Alivyotoka nyoka yule alifika kwenye ile fimbo akatulia.
Kijana akaambiwa ingia kachote mzigo tuondoke.

Jamaa akaingia zilivyopita dk 2 aisee mashine ikajikunjua ikawa inarudi kwenye pango na jamaa bado yupo ndani

Ilibaki story jamaa hajatoka tena tuliskia kelele kwa mbali sana

Tukaondoka na kufika nyumbani tukamkuta mke wake anasema jamaa kamuaga anaenda kutafuta mekyuri. Mzee akajua jamaa alivunja miiko.

Hakika tangu siku hio naogopa sana kila nkikumbuka tukio hilo

Utajiri ni mgumu aisee
Kwanini uyo Jamaa hamkumwambia masharti
 
Back
Top Bottom