Kisa kilichokuaibisha.

Kisa kilichokuaibisha.

ulshapata stor yake yoyote akiwa amefumaniwa CUTE tupia hapa tumtambue
 
Last edited by a moderator:
afwadhali umeutiliza moyo wangu, nlishaanza kulia
 
kila mtu anamuheshmu lakini CUTE kunaubaya gani kusema wakati yeye kakiri?
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa kondoa kikazi..........nimeamka asubuhi nikawa naoga nimejipaka mapovu mwili mzima kumbe kondoa uwa kuna tetemeko linapita mara kwa mara si likapiga kwa nguvu mpaka nyumba ikatikisika mimi nikadhani nyumba inabomoka nikatoka nje na mapovu yangu bila ya hata nguo nikakutana na mlinzi akasema dada usikimbie ni hali ya kawaida tu uku duh nikarudi chumbani na mapovu yangu na iabu juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom