Mimi nilifumaniwa na mke wa mtu, si mara moja ila mara kibao na siachi ngoo.
pooole charminglady hapo wachuro kamera za sim hazkufanya kaz?
Naishi kwenye apartment na kuna siku nikiwa bafuni naoga, nikasikia mlango ukigongwa...
Baada ya muda ukapita ukimya,mgongaji alikuwa ni deliverer wa DHL kaleta mzigo wangu uliotumwa kutoka China naye alikua kautua huo mzigo mlangoni na tayari kasepa...
Basi kwa shauku nikaenda mlangoni nikiwa hata sijajifunga taulo wala kuvaa bukta(nilikua mtupu)...
Nikafungua kidogo mlango, nikacheck upande wa kushoto na kulia hakukua na mtu, mmmh nikatoka nje vile vile nikiwa mtupu ili nilibebe lile box faster faster kabla ya mtu yoyote kutokea...
Astaghafilulah!...jamani mlango si ukajifunga na ule mlango jinsi ulivyo ukiwa nje lazima uufungue kwa funguo pindi ukijifunga
kwani wazee vipofu charminglady