Kisa hiki kimetokea juzi naombeni ushauri

Habari zenu wadau,nina mpenzi ambaye tuna mwezi tokea tulipoanza kujuana.Juzi jioni alileta mwanaume mwingine katika chumba chake,na alilala na akaondoka asubuhi.Niligundua asubuhi baada ya kuwahi kuamka,niliwaona wakitoka nakumsindikiza kuelekea barabarani tayari kwakusafiri.Mimi na huyo msichana tunaishi jirani sana.Sasa,baada yakujua nimejua alichokifanya hataki kuniona wala kuzungumza lolote.
USHAURI TAFADHALI

Ushauri wa nini? Hutakiwi... What else?!!!
 
Habari zenu wadau,nina mpenzi ambaye tuna mwezi tokea tulipoanza kujuana.Juzi jioni alileta mwanaume mwingine katika chumba chake,na alilala na akaondoka asubuhi.Niligundua asubuhi baada ya kuwahi kuamka,niliwaona wakitoka nakumsindikiza kuelekea barabarani tayari kwakusafiri.Mimi na huyo msichana tunaishi jirani sana.Sasa,baada yakujua nimejua alichokifanya hataki kuniona wala kuzungumza lolote.
USHAURI TAFADHALI
fukuza faster
 
huna mpenzi, ulikua mshika pembe tu
 
.......uliwahi kulala chumbani kwake, mkesha??? Alikusindikiza au? Nenda kamuombe msamaha, kupenda ni kuwa tayari:third:
 
una uhakika gani kama huyo ndo mhusika wewe ni mchepuko wake? umepewa lifti, na honi wataka kupiga!!! ebooo....anza mbele braza...
 
Kuwa mwanaume siyo kuning'iniza mjusi huko chini!

Nakushauri ufanye kile unachokifikiria wewe kama wewe.

No wonder kila takwimu za sensa zikitoka wanaume tunakuwa wachache.

Most of modern men are now women with dicks.
 
Huyu jamaa aweza gongewa mke wake na yey yupo ktandan halafu anakja kuomba ushaur,kusoma ulishindwa hata picha halijaksaidia,ukimrudia 2 ujue umekwsha olewa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom