Kisa hiki kimetokea juzi naombeni ushauri

Kisa hiki kimetokea juzi naombeni ushauri

mkuu huyu ni msukuma made in Mwanza/Shinyanga/Simiyu/Geita.. wanapenda mnoo.. yani kwanza hongera kama hukumfanya chochote maana wengi huwa wanauawana sababu ya mbunye.

Wewe sisi wasukuma hatuna upuuzi huo....
 
Wewe sisi wasukuma hatuna upuuzi huo....

ningekua nimehadithiwa sawa ila naishi nao, matukio yao ya mauaji chanzo ni mapenzi na uchawi.. kwa mbaaali na migogoro ya mashamba ila mapenzi ni # 1
 
ningekua nimehadithiwa sawa ila naishi nao, matukio yao ya mauaji chanzo ni mapenzi na uchawi.. kwa mbaaali na migogoro ya mashamba ila mapenzi ni # 1

Basi kama ulidhani umetufahamu vzr hapo umekosea sana labda uolewe na m1 ndo kwa mbaaaaaali utaanza kutufahamu
 
Sina cha kukushauri maana mwanamke yuko peke yake tu. Kungekuwa na wengine ingebidi umwache utafte mwingine. Vumilia tu atakubali kuzungumza na wewe,,,
 
Basi kama ulidhani umetufahamu vzr hapo umekosea sana labda uolewe na m1 ndo kwa mbaaaaaali utaanza kutufahamu

am not interested sababu wasukuma upendo wao ni periodic.. mapenzi ya kisukuma hayana guarantee.. uke wenza nje nje.. huwa mnatambulisha mpaka vimada
 
ha ha ha ha ha ha haaaaaaa Matege bana cku hizi hatuko hivyo bana labda unaowazungumzia ni wale wa zamani
 
Last edited by a moderator:
Wee jifanye mpole kamata piga mbunye kupoza maumivu afu unasepa,
 
ha ha ha ha ha ha haaaaaaa Matege bana cku hizi hatuko hivyo bana labda unaowazungumzia ni wale wa zamani

uwiiiii.. hamna bhana.. nyie bado sana aisee. mzee wa miaka 60 mwenye wake hata wanne bado anaoa tena anaoa binti mbichiiii alafu akichapiwa anaua. mna hatari sana nyie watu
 
Last edited by a moderator:
Sasa c umeshasema mzee wa miaka 60.....!!! hayo mambo ni kweli bado yapo lakin ni vjjn sana unaweza kukuta kijana ana miaka 22 lakin tayar ana watt wa4 tena kwa wanawake tofauti tofauti
 
Dah.........na wewe ukawaangalia tu.......?
Aiseee.........nitakwambia kwa nini hataki kukuona..........

binamu ulitaka awafanye nini...? wakati nae mteja tu wakaida...
 
Anajipanga sasa
Siku mkikutana atakuambia alikuwa anamsindikiza kaka yake aliyekuja kumtembelea...na wewe utaona sawa na utaendelea naye.
 
Yule ndo bwana wake wew ulikuwa unaiba sababu nijirani tu, kwa hiyo usipate wivu wew endelea kugegeda
 
Ushauri gani unataka? Achana naye atakupa maradhi huyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom