Kisa cha mvuta bangi

Kisa cha mvuta bangi

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
184
Reaction score
394
Mvuta bangi mwanaume alivuta bangi akajiona uchi akadhani amevaa suti. akaenda kwa wenzake akawauliza suti imemtoa aje .mmoja wao akamjibu Poa sana ila tu tai umefungia chini sana
 
Mvuta bangi mwanaume alijiona uchi akadhani amevaa suti. akaenda kwa wenzake akawauliza suti imemtoa aje .mmoja wao akamjibu Poa sana ila tu tai umefungia chini sana
Kwani ni fupi hivyo
 
Back
Top Bottom