Kisa cha masalia Wasabato na hali yetu ya sasa

HAPANA biblia HAISEMI Yesu ni Mungu Mweza Yote...
Read Jeremiah 32:17

QUOTE="mr chopa, post: 34993756, member: 383440"]
Ni kichaa tu atakae amini yesu ni mungu


Sent from Tapatalk
[/QUOTE]

Yesu sio mungu. Yesu ni MUNGU
hata hivyo asante sana kwa kutuita vichaa. Mungu akusaidie ufunguke macho na akili siku moja
 
Nadhani kunatofauti kati ya dhehebu la wasabato masalia na dhehebu la waadventista wasabato s.d.a, walio enda uwanja wa ndege walikuwa wasabato masalia, ila wote wanaabudu jumamosi. Ngoja waje watatuambia
Ndivyo ilivyo, umefafanu vizuri. Wanaojaribu kuwachanganya ni wale wasioelewa tofauti uliyosema.
 
Read Jeremiah 32:17

Yesu sio mungu. Yesu ni MUNGU
hata hivyo asante sana kwa kutuita vichaa. Mungu akusaidie ufunguke macho na akili siku moja
hilo mbona halisema Yesu ni Mungu....
Read Jeremiah 32:17
Yesu sio mungu. Yesu ni MUNGU
hata hivyo asante sana kwa kutuita vichaa. Mungu akusaidie ufunguke macho na akili siku moja
mkuu nimesoma ila sijaona Yesu akisemwa
 
Yesu sio mungu. Yesu ni MUNGU
hata hivyo asante sana kwa kutuita vichaa. Mungu akusaidie ufunguke macho na akili siku moja
Ukitaka kuamini angalia hata utetezi wako unafikiri mungu anapatikana kwa ajili ya kusema Kama hivi=yesu sio mungu yesu Ni MUNGU mungu wa kweli aliomuumba huyo yesu Ni yule alie mlilia pale msalabani _akasema eee mungu wangu mbona umeniacha ndio alienifungua mimi macho na ndio atakae kufungua wewe macho

Sent from Tapatalk
 
Wasomi hao wote na Ph.D zao wameshindwa kuona utapeli mkubwa wa Ellen G White!
Wale hawakuwa Seventh Day Adventists kama sijakosea kulitaja jina lao.

Wasabato wa dhehebu la SDA ni watu wanaoongozwa na katiba yao na wametapakaa dunia nzima sio kama nikivyokuwa nafiria mwanzo.

Kwa kifupi, wasabato ni dhehebu la watu wote wasomi na ambao sio wasomi.

Mfano; Watu kama kina Ben Carson_Katibu mkuu wa wizara marekani, na dakitari bingwa duniani wa upasuaji wa neurons.

David Magara: Judge mkuu wa Kenya.

Prof. Anangisye mkuu wa chuo cha DSM.

Devon Franklin, Makamu wa rais wa Colombia Pictures, Hollywood.

Pia hta wasanii wapo walio na imani hii japo dhehebu lao linapinga mziki wa dunia. Mfano: Davido wa Nigeria na Navy Kenzo wa Tanzania.

Mwanzo nikiwachukulia kama walokole kumbe sio kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kuamini angalia hata utetezi wako unafikiri mungu anapatikana kwa ajili ya kusema Kama hivi=yesu sio mungu yesu Ni MUNGU mungu wa kweli aliomuumba huyo yesu Ni yule alie mlilia pale msalabani _akasema eee mungu wangu mbona umeniacha ndio alienifungua mimi macho na ndio atakae kufungua wewe macho

Sent from Tapatalk

Ndugu fulani hivi hapo juu naye kaomba kujua ni kwa vipi Yesu ni Mungu. Pokea nukuu hizi zikusaidie halafu katafute namna ya kuzibishia. kasome Yohana 1:1-3; Yoh 10:30; Yoh 20:28 na Yoh 14:19
 
Huu mfano wako mbona sio halisi? NAhisi kuna kitu unakitafuta au unataka kuibua hoja fulani.

Sijaona relation hiliopo kati ya wasabato masalia na huu ugonjwa wa corona, umetoa mfano dhaifu sana kaka,
Kwanini usingetoa mfano jinsi meli ya titanic hilivyozama uka refer na huu ugonjwa wa corona ? Siungesema watu walijisahau kwenye hile meli then wakaangamia?

Kipi haswa unataka ku target hapo. Mantiki yako ya kuwataja wasabato ni nini ndugu?
 
Wale hawakuwa Seventh Day Adventists kama sijakosea kulitaja jina lao.

Wasabato wa dhehebu la SDA ni watu wanaoongozwa na katiba yao na wametapakaa dunia nzima sio kama nikivyokuwa nafiria mwanzo.

Kwa kifupi, wasabato ni dhehebu la watu wote wasomi na ambao sio wasomi.

Mfano; Watu kama kina Ben Carson_Katibu mkuu wa wizara marekani, na dakitari bingwa duniani wa upasuaji wa neurons.

David Magara: Judge mkuu wa Kenya.

Prof. Anangisye mkuu wa chuo cha DSM.

Devon Franklin, Makamu wa rais wa Colombia Pictures, Hollywood.

Pia hta wasanii wapo walio na imani hii japo dhehebu lao linapinga mziki wa dunia. Mfano: Davido wa Nigeria na Navy Kenzo wa Tanzania.

Mwanzo nikiwachukulia kama walokole kumbe sio kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa anangishye nadhani umekosea

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
hivi mkuu wasabato mnasemaje kumuhusu Yesu ni Mungu Mweza Yote au ni nani?
Yesu ni Neno la Mungu Aliyefanyika kuwa mwili. Ndio, ni Muweza ya yote.
Rejea Yohana 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
² Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
³ Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ni kwa aliyetaka kufahamu kama Mungu ni muweza wa yote.

Kwa wewe unayetaka kujua kama Yesu ni Mungu kasome Yohana 1:1-3; Yoh 10:30; Yoh 20:28 na Yoh 14:19
1.Kulingana maandiko Yoh 1:1 linasema "HAPO MWANZO" je Mungu ana mwanzo?
2.Nini maana ya kuwa mmoja, unasemaje je wanafunzi wa Yesu walikuwa mtu mmoja baada ya kusoma Yoh 17:11? nini maana hasa ya kuwa mmoja!
pitia pia YOH.17:3 na Yoh.20:17
@Jah Bless
 
Kamwe sikubaliani na sintokubaliana nawe, na yeyote mwenye wazo hilo, kwa sababu kuu zifuatazo, ambazo naomba uzijibu kwa ufasaha na uhalisia:-

1) Watanzania wengi (>70%) wanapata mahitaji yao kupitia sekta isiyo rasmi, km nishati (mkaa na kuni), vyakula, na mengineyo.

2) Watanzania wengi wa mijini (>80%) hutegemea mazao ya shambani, hasa vyakula kutoka mikoani na hawana jinsi na namna ya kuhifadhi kwa muda mrefu. Uthibitisho ni utitiri wa masoko bubu mijini.

3) Bado zaidi ya 59% ya wakazi wa mijini wanategemea biashara ya papo kwa hapo, kwa maisha yao ya kila siku, km mama ntilie, machinga, maduka ya bidhaa za mahitaji ya nyumbani, nk.

4) Wenye uwezo wa kuhifadhi vyakula, bado mfumo wa umeme ni wa kukatika katika.

5) Afya za WaTz wengi (>60%) siyo nzuri. Tembelea baadhi ya hospitali kunavyofurika wagonjwa na baadhi yao ni wale ambao maisha yao yote hutumia dawa km kisukari, BP, HIV, nk. Hawa wagonjwa watahitaji kwenda kwa matibabu na/au kupima/kuchukua dawa.

Njia ambazo zaweza kutumika kuzuia kusambaa kwa COVID-19, kama kila mwananchi atathamini uhai wake asiambukizwe, na wa mwenzake asiambukize ni zifuatazo:

1. Jitahidi kukaa na pesa cash zinazotosha matumizi kwa siku kadhaa kuliko kuzihifadhi benki (mabenki, vibanda vya pesa na ATM muda wowote unaweza sikja zimefungwa...) kwa wanaolipa kwa card hakikisha kukaa na cash pia.

2. Kama una uwezo (kifedha na hifadhi), nunua chakula cha kutosha kiweke ndani kama akiba, ili usilazimike kutoka, mara kwa mara, au kumtuma mmoja wa familia kwenda kununua.

3. Usipendelee kupanda bodaboda. Mgongoni kwa bodaboda ndipo yule mgonjwa wa corona alipopanda hiyo bodaboda alikuwa anapumulia hapo. Kama kuna ulazima wa kupanda basi vaa gloves na mask (kiziba mdomo na pua) ili kujikinga.

4. Usipende kuazima simu ya mtu na kuitumia kuongea na mtu. Simu inakuwa karibu sana na pua na mdomo unapoongea hivyo kunasa kirahisi hawa virusi (nyakati zingine huhifadhi unyevunyevu wa hewa uliyoipumua) na hivyo kuongelea simu ya mtu mwingine inakupa hatari kubwa ya kupata maambukizi.

5. Mazingira ya vijijini yanaweza kuwa salama zaidi kwa kuwa hakuna mwingiliano wala msongamano mkubwa wa watu. Ukiweza kwenda kijijini (kwa wale wanaotoka vijijini) itakufanya uwe salama zaidi.

6. Usipuuze maagizo ya kila siku yanayotolewa na mamlaka husika kama vile kuosha mikono, kupaka sanitizer, kunywa maji moto yenye limao/kitunguu swaumu/tangawizi ili kuongeza kinga (hata kama hauamini kama inaongeza kinga haikupunguzii kitu chochote kile ukitumia)

7. Kaa katika hali ya Neema. Tubu mara kwa mara. Sio wakati wa kugombana wala kuhifadhi kinyongo na mtu. Ipokee hii kama Neema ya kumrudia Mungu na kukaa karibu na Mungu. Ikitokea ukapata Neema ya kutangulia mbele za haki basi uende ukiwa umejaa neema (japo wengi hatutapenda kuisikia hii, but this is a golden chance)

8. Sali daima ukiiombea familia yako, watu wako wa karibu na pia usiache kuwaombea wengine.

La msingi, basi, tuendelee kujuzana kadri tunavyofunguliwa fahamu zetu za uelewa wa jinsi ya kujikinga na tiba ya gonjwa hili.
Siku itakapofika mta-lockdown mpaka Congo Street ya Kariakoo. Kwa sasa hali haija-warrant lockdown. Subirini tu hio siku iko karibu. India walio-lock down nchi nzima so kwamba hawana maskini. Wapo, tena wa kutupwa. Hapa serikali itabidi iangalie namna ya kusaidia watu kama hawa.
 
Back
Top Bottom