Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,255
- 4,841
Moshi ina ma-Tarimo wengiWadau hamjamboni nyote?
Ni kisa Cha kweli kilitokea Moshi
Tarimo na Mwasha marafiki
Tarimo kamtongoza mke wa rafikiye
Mke kamuambia mumewe fumanizi likapangwa.
Tarimo akafumaniwa nyumbani kwa Mwasha usalama wake akauza gari bila kulipwa hata mia
Tarimo wanatokea Rombo na sio moshi nakukumbusha tu mamkwe.Moshi ina ma-Tarimo wengi
Uzi bora wa mwaka,Wadau hamjamboni nyote?
Ni kisa Cha kweli kilitokea Moshi
Tarimo na Mwasha marafiki wakubwa na wote wafanyabiashara japo Mwasha tajiri zaidi
Mke wa Tarimo ni Daktari Serikalini
Tarimo kamtongoza mke wa rafikiye
Mke kamuambia mumewe kuhusu jambo Hilo na fumanizi likapangwa.
Tarimo akafumaniwa nyumbani kwa Mwasha akiwa uvunguni mwa kitanda. Kwa usalama wake na hii ni baada ya kushikiwa mtutu wa bunduki
akauza gari lake bila kulipwa hata mia moja
nani mamkwe wako Mkuu ? nikikutumia majini yakubake utanilaumu ?Tarimo wanatokea Rombo na sio moshi nakukumbusha tu mamkwe.
Basi yaishe nimekufananisha tu mkuu.nani mamkwe wako Mkuu ? nikikutumia majini yakubake utanilaumu ?
mimi sijasema Tarimo wanatokea wapi, nilichosema ni sawa na kusema Dar kuna Chacha/Marwa wengi
Sio HARAKA kama anakimbizwa na kenge wa bluuUmeandika ukiwa na haraka sana mkuu
Fala sanaHakuona nyumba za wageni hadi kwenda nyumbani kwa mchepuko?
Aweke ndimu na chumvihaidithi yako haina ladha π
Haieleweki, imejikunja kunja πAweke ndimu na chumvi
Jamaa aliaga anasafiriHakuona nyumba za wageni hadi kwenda nyumbani kwa mchepuko?
Haya mambo hayanaga ujanja ukinasa umenasa na ubaya kichwa Cha chini kinapoteza ushirikiana wakati chenyewe ndio kilianza kuleta shida kikiona Tako limepita kinasimama wima kinataka kuingia kwenye Sketi,Jamaa aliaga anasafiri