Bado nina swali kwa wadada. Hivi hamna hakimiliki ya miili yenu? Ni kawaida kusikia eti nimepewa mimba na fulani. What a hell!
Options zilizojaa za kujikinga nazo wala hujishughulishi nazo? Poor wadada wanaodai wamepewa mimba.
Mamaaaaaa!! Yani klusoma tu hiyo story mpaka mwilio wangu umeshiklwa ganzi, na nimekpsa imani na wanaume! Dada angu nashukuru sana kwa kulitoa holi maana wengi tutapona, na pia usiwaze kwani ushaandaa makao yako kwa kujutya na kitubu hivyo hutakufa mapema utabaki kuwa ushuhuda duniani!, miungu akujaze nguvu na matumaini!. Ubarikiwe siku zote.
Yaani ulitoa tigo ili uolewe unataka tumpe nani huo ushauri wako,toa ujinga hapa.
,hapo unalalamika kupigwamiti bila kuolewa na jamaa au kutokuzaa Kwako? We ulikubali kutoa mimba kama msomi madharayake unayajua pia kuliwa nnya unajua madharayake so ulifanya kitu ambacho unajua mwishowake,inamaana walio olewa woote walipitia hayo yako?toa upuuzi hapa.
Sasa huyu anamlaumu huyo kenge aliyemchana marinda wakati ni umburula wake yeye mwenyewe!! Wasichana wengine halmashauri zao za kichwa zina walakini mkubwa sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.