kisa cha kusikitisha sana aisee...

kisa cha kusikitisha sana aisee...

nyie watu! hamsikitiki?
kweli hamna nyonga ya huzuni kabisa aisee!!
mnataka kucheka tu, haya ila inasikitisha sana aisee..
 
kwa jinsi ulivyokaa na kushika tama ni masikitiko tayari
 
Daa! Kwahiyo hata majirani hawakuweza kutoa msaada? Kwa kweli inasikitisha. zumbemkuu
 
Last edited by a moderator:
kwa jinsi ulivyokaa na kushika tama ni masikitiko tayari
ni baada ya kushuhudia kisa chenyewe ndo ikabidi nigalegale chini kwa kulia,
inasikitisha sio masiala unajua!!
 
Dunia ina mambo kwani ilikuwaje kuwaje asee?????
unajua ulivyoniuliza ndo nikaongeza bilauri ya tatu? hakika ukiniuliza tena machozi yatajaa lita.
(ukiambiwa hatutaliona live! loh)
 
Back
Top Bottom