Kisa cha Eric (RIP) wa Mombasa Kisauni, nyuki na supu

Kisa cha Eric (RIP) wa Mombasa Kisauni, nyuki na supu

Daaah.........inasikitisha sana......!!!!!!
 
She is just another stupidest bichi ever...! Very stressful n lowest mind ever.... always making funny of herself
Bingwa wa kujitega again live,ulijifanya eti una busara kua hutaki kumjibu huyo Dada, ila kwa vile busara yako ni ya ku-fake umeshindwa kujizuwia umekuja na kashfa za kitoto kama kawaida yako!

Faiza amekupa ukweli kua ukicopy habari uwe unaweka na source ya habari,ila wewe hii mada umejifanya ni kama fumbo ulilolitunga wewe! Ndio maana wachangiaji wa mwanzo walikwambia tmeshindwa kukuelewa! Ukauchuna tu huku ukiamini kua wameelewa wewe ndio mtunzi wa hilo "fumbo"

Kuna member akakuumbua na kusema anayo vdo clip ya hiyo issue na ataiweka hapa,ukamuuliza kinafiki eti "Nipe namba yako nikutumie whatsApp,sasa kwanini usingeituma wewe hiyo clip hapa toka mwanzo badala ya kuandika na kujifanya ni fumbo lako! Ukweli unauma na ndio maana umetokwa Povu!
 
We ajuza vp mbona video imewekwa hujaona hio video ya KTN unaenda wangu wangu wapi mama.
Hiyo clip imepostiwa na Lussadam post number 8 acha kukurupuka wewe! Mtoa mada hakutuma hiyo clip,uwe unajitafakari kwanza kabla ya kukurupuka kujibu huo utumbo wako.
 
Back
Top Bottom