Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
[h=3]IMENILAZIMU KUZIWEKA PICHA HIZI,DAAH MREMBO WAWATU KATIKATI YA DIMBWI JAMAA AKAMUANGUSHA--DSM[/h]
Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es Salaam
Mbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwi
Dada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi.
Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwi
Dada akilia baada ya kuokolewa.
PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA
PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA