kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
Bora tu alivaa ilo Chupi la bibi yake..
lichupi la kuongeza ukubwa wa makalio....
Bora tu alivaa ilo Chupi la bibi yake..
bila kunitaja ujisikii raha
Kila nikiangalia hii kitu najiskia huruma na kicheko, halafu huyu ni mwana JF fulani hivi, sio ladyfurahia kweli kabebwa na saudari? Kuna kipindi hizi ndio zilikua dili za wapwa zangu MANI na zumbemkuu mteja wao mkubwa alikua ni dada Paloma na Aine huku Mr Rocky akipokea mshiko tu na watu8 akitoa receipt
Pole mpenzi
Kweli mkuu, na angekua na gari yake wala si wa kutembea kwa miguu.
haaaaa haaaa kwiiiiiiiii kwiiiiiiiiiii, Elli nawe huna siriiiiiiiii!!!!!!!!!!!!Kila nikiangalia hii kitu najiskia huruma na kicheko, halafu huyu ni mwana JF fulani hivi, sio ladyfurahia kweli kabebwa na saudari? Kuna kipindi hizi ndio zilikua dili za wapwa zangu MANI na zumbemkuu mteja wao mkubwa alikua ni dada Paloma na Aine huku Mr Rocky akipokea mshiko tu na watu8 akitoa receipt
Pole mpenzi
Kila nikiangalia hii kitu najiskia huruma na kicheko, halafu huyu ni mwana JF fulani hivi, sio ladyfurahia kweli kabebwa na saudari? Kuna kipindi hizi ndio zilikua dili za wapwa zangu MANI na zumbemkuu mteja wao mkubwa alikua ni dada Paloma na Aine huku Mr Rocky akipokea mshiko tu na watu8 akitoa receipt
Pole mpenzi
ahahahaha, mpwa Elli hizo dili niliachaga siku nyingi zilikuwa zinahatarisha ndoa yangu, huyo binti ni Fixed Point na BAK ndo alimbeba,
Kila nikiangalia hii kitu najiskia huruma na kicheko, halafu huyu ni mwana JF fulani hivi, sio ladyfurahia kweli kabebwa na saudari? Kuna kipindi hizi ndio zilikua dili za wapwa zangu MANI na zumbemkuu mteja wao mkubwa alikua ni dada Paloma na Aine huku Mr Rocky akipokea mshiko tu na watu8 akitoa receipt
Pole mpenzi
IMENILAZIMU KUZIWEKA PICHA HIZI,DAAH MREMBO WAWATU KATIKATI YA DIMBWI JAMAA AKAMUANGUSHA--DSM
Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es Salaam
Mbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwi
Dada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi.
Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwi
Dada akilia baada ya kuokolewa.
PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA